Museveni aruhusu Uganda ikope $2.9b kwa ajili ya reli ya SGR

Museveni aruhusu Uganda ikope $2.9b kwa ajili ya reli ya SGR

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii ni baada ya yeye kupata uhakika kwamba Kenya imechachamaa kufikisha reli hadi mpakani, hivyo ameruhusu nchi yake kupata mkopo huo utakaowezesha ujenzi wa reli ya kisasa kutoka Malaba, Kenya hadi Kampala, Uganda.

Reli hii inategemewa kukatiza hadi Burundi, DRC, Sudan Kusini na mipango ya baadaye itaunga kwenye miundo mbinu ya Magharibi na Kaskazini mwa Afrika, na pia Kusini. Lakini kwa sasa tunakomaa na tawi la Kisumu ili tujihakikishie soko la Tanzania kanda ya ziwa pale Mwanza na pia Kaskazini mwa Tanzania pale Arusha na Kilimanjaro ikitokea tufanikishe tawi la Taveta.

Naomba tuvuke kwenye uchaguzi kwa amani, hata upinzani ukichukua bado mwendo utakua ni ule ule, ila cha msingi amani, naipenda sana nchi yangu nakuiombea kila siku.
East-Africas-US14-Billion-Standard-Gauge-Railway-in-red-Kenya-Railways-Corporation.jpg

President Yoweri Museveni has approved the borrowing of Ush10.3 trillion ($2.9 billion) for the construction of the standard gauge railway from the Malaba border with Kenya to Kampala in the clearest signal yet that the regional infrastructure project is back on track.

Uncertainty had hit the project after Uganda said it was considering building a railway through Tanzania after failing to get assurances from Kenya that it would extend the Mombasa-Nairobi line to Malaba.

Kenya has since committed that its line, whose first phase to Nairobi was competed in June, will be extended in phases to Naivasha, Kisumu and eventually Malaba.

The approval for the borrowing comes amid indications that China had agreed to fund the line only if it was a joint project between governments including Rwanda, the last stop of the Northern Corridor under the East Africa Railway Masterplan. Another line in the Central Corridor from Dar es Salaam to Burundi and Rwanda would complete the circuit meant to boost trade in the region.

READ: China plan raises hope for East African SGR project

ALSO READ: China Exim sets terms for financing Uganda’s SGR

In a letter to parliament last month, President Museveni said the loan, which is Ush2.1 trillion ($600 million) more than the $2.3 billion contained in the feasibility study, should be on condition that concerns over the technical specifications and project costs raised by the Parliamentary Committee on Infrastructure in February would be addressed.

The Treasury said the money included the costs of arranging for the loan from China Exim Bank, such as insurance, even as State Minister for Planning David Bahati suggested the higher amount could be the result of a typing error.

“Are you sure it was $2.9 billion? I seem to remember writing $2.29 billion,” he said.

But Ministry of Finance spokesperson Jim Mugunga said the extra allocation was meant to cover costs associated with borrowing the loan.

“When you go to negotiate with lenders, the bank asks for management and insurance fees,” Mr Mugunga said.

Borrowing costs

Although Mr Mugunga did not disclose the details, typical government concessional loans from China Exim attract interest of two per cent per annum, commitment fees of 0.25 per cent for undrawn amounts and a management fee of 0.25 per cent on the loan amount.

It is also not unusual to find such a loan having a commercial component, which is priced at a premium above an agreed benchmark interest rate such as Libor.

Insurance, depending on the risk of the project, ranges from five per cent to 10 per cent. For the first phase of Kenya’s standard gauge railway project, it was 6.93 per cent.

Uganda has been collecting a 1.5 per cent infrastructure levy on imports since the 2014/15 financial year under an arrangement by East African partner states to support the construction of the railway.

Uganda has previously borrowed money from China Exim without such a notable cost escalation. A report from parliament shows that in the case of Karuma hydropower dam, the project cost was estimated at $1.7 billion and Uganda borrowed $1.4 billion. The rest was counterpart funding. Management and insurance fees for the project were $69.8 million.

Kasingye Kyamugambi, the SGR co-ordinator, said Uganda is expected to provide counterpart funding of 15 per cent or $345 million largely for compensation of people affected by the project. This would take the extra borrowing to $900 million.

Public debt

President Museveni said in the letter that concerns over the steel density and cost per kilometre of the railway needed to be resolved. The Uganda line will cost $8.2 million per kilometre, compared with $5 million per kilometre for Ethiopia and $7.7 million per kilometre for the Mombasa-Nairobi phase in Kenya.

READ: Kampala, Addis SGRs: Same specifications, different costs

Mr Kyamugambi had said earlier this year that China Harbour Engineering Company would build the 273-kilometre line over a period of 40 months. He said the cost of each project was determined by the terrain.

In the letter, President Museveni also approved the borrowing of about Ush15.7 trillion ($4.4 billion) for infrastructure projects. However, he rejected 11 loan requests worth Ush2.5 trillion ($714 million).

READ: Museveni takes over loan approvals

President Museveni’s letter to parliament was intended to control Uganda’s rapidly increasing debt and interest payments, which are blamed on lopsided contracts signed by government officials.

For the 2017/18 financial year, Uganda will spend Ush17 trillion ($4.7 billion) in loan and interest payments. This is more than half of the country’s Ush29 trillion budget ($8 billion).

Syda Bbumba, the chairperson of the parliamentary committee in charge of approving government loans, said the president had instructed that in the future he would personally approve government borrowing. Previously, loans went through the Cabinet, before being passed on to Parliament.

Ms Bbumba said the Cabinet is sometimes chaired by the prime minister and as result the president was not always aware of the approved loans. She added that, Uganda will reject new loans for capacity building and workshops, as these are no longer necessary.

Museveni clears $2.9b China loan for Malaba-Kampala SGR
 
wamalize by 2022 sasa uone mafanikio makubwa yatakayotokea...
 
Reli hii inategemewa kukatiza hadi Burundi, DRC, Sudan Kusini na mipango ya baadaye itaunga kwenye miundo mbinu ya Magharibi na Kaskazini mwa Afrika, na pia Kusini. Lakini kwa sasa tunakomaa na tawi la Kisumu ili tujihakikishie soko la Tanzania kanda ya ziwa pale Mwanza na pia Kaskazini mwa Tanzania pale Arusha na Kilimanjaro ikitokea tufanikishe tawi la Taveta.
Kwa Tanzania sahau.
 
Kwa Tanzania sahau.

Tusahau vipi wakati leo hii hata bila SGR tuna mizigo mingi sana inayokwenda Kaskazini mwa Tanzania ikitokea bandari ya Mombasa, sasa baaga ya SGR ndio tutafunika. Fahamu kwamba wanabiashara huwa hawana muda na huo uzalendo mandazi. Leo hii mtu wa Mwanza utegemee afuate mzigo wake Dar ilhali tumemuwekea bandari hapo ziwa Victoria.
 
Vizuri unavyojipa moyo,kiafya ina faida kwako
 
Napata picha jinsi Kenya mko busy kuhakikisha SGR aibadiliki na kuwa tembo mweupe. Sasa siku Museveni akibadilisha mawazo ndio imekula kwenu hiyo. Uzuri ni kwamba zama za Kenya kula peke yake zinekweisha, tutabanana humu humu.
 
Museveni hana ubavu huo, kwa kifupi hamna tena nchi ukanda huu yenye ubavu wa kutunishia Kenya misuli kama hapo awali.
Mambo ya bomba yalikua chini ya Total, huyo ni mwekezaji mwenye hea zake nyingi ambapo hatuwezi kumbadilisha kiulaini lakini ingekua nchi, mbona tungepiga chini.
 
Kwahiyo kama total angetaka kupita Tanzania na serikali ya Uganda ingesema hapana, wangepitisha kwa nguvu. Maana ndio unataka kusema kama ni total ndio wenye kauli ya mwisho. Nimesema, hela ya Africa mashariki tutagawana tuu hakuna zama za Kenya kula kila kitu, ifute hiyo zama
 
Total ndio wenye hela na ndio walimburuza Museveni mengine yote yalikua zuga.
 
We welcome these development with open arms.M7 anatambua kuwa ako na majirani wawili wenye tabia tofauti sana,mmoja ni mchapa kazi mwengine ni mwanahadithi.I have read comments on kawe city project and am surprised,surely WaTz how do you develop by opposing such a project claiming that your earning power is low.Enemies of development.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Total ndio wenye hela na ndio walimburuza Museveni mengine yote yalikua zuga.
Haha, wenye sauti ya mwisho kwenye mambo yoyote ya ni nchi ni nchi yenyewe. Ukumbuke hiyo hela ya total ni waganda ndio watailipa kutokana na mavuno ya mwanzo wa mafuta. Mafuta bado ni mali ya waganda. Je mafuta ya Kenya ni mali ya nani?
 
Mganda hana hela hivyo hana sauti ya wapi bomba lipitie.
 
Mganda hana hela hivyo hana sauti ya wapi bomba lipitie.
Unakuwa mbishi tu, nimekuuliza swali mafuta ya Turkana Kenya haina sauti?? Tullow akisema sichimbi haya mafuta, serikali ya Kenya itakaa chini na kukubali??
 
Sasa sisi Ni kupima mkono tu. Kisa mkono wa Lissu. Sio. Wee kaa na wazo LA mkojo. Tanzania ni Umeme. Achana Na hizo mwendo wa kinyonga. 160kmh.

Sent using Jamii Forums mobile app
nchi yenye stima hafifu..1600 MW itaendesha treni zipi? .lol!..dont be surprised if it takes 20 years before the first trains start traveling...unless you want to buy electricity from ethiopia...
 
Unakuwa mbishi tu, nimekuuliza swali mafuta ya Turkana Kenya haina sauti?? Tullow akisema sichimbi haya mafuta, serikali ya Kenya itakaa chini na kukubali??

Tullow hana ubavu huo kwetu maana sisi hela tunazo, kumbuka bomba tunalijenga wenyewe. Lakini Uganda hela hawana, hivyo Total anachimba na kugharamia usafirishaji wake na ndio mojawapo wa sababu za wao kuchagua Tanzania maana kwenu ardhi ni bure.
 
Back
Top Bottom