Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Ukiwa kwenye vijiwe vya Bangi usiwe unachangia katika Jamii Forum. Maana unamwaga pumba umu. Unga wa Ugali umewashinda kulima, mnang'ang'ania Standard gauge wapuuzi wakubwa nyinyi Kenya.Tullow hana ubavu huo kwetu maana sisi hela tunazo, kumbuka bomba tunalijenga wenyewe. Lakini Uganda hela hawana, hivyo Total anachimba na kugharamia usafirishaji wake na ndio mojawapo wa sababu za wao kuchagua Tanzania maana kwenu ardhi ni bure.