Museveni aruhusu Uganda ikope $2.9b kwa ajili ya reli ya SGR

Tullow hana ubavu huo kwetu maana sisi hela tunazo, kumbuka bomba tunalijenga wenyewe. Lakini Uganda hela hawana, hivyo Total anachimba na kugharamia usafirishaji wake na ndio mojawapo wa sababu za wao kuchagua Tanzania maana kwenu ardhi ni bure.
Ukiwa kwenye vijiwe vya Bangi usiwe unachangia katika Jamii Forum. Maana unamwaga pumba umu. Unga wa Ugali umewashinda kulima, mnang'ang'ania Standard gauge wapuuzi wakubwa nyinyi Kenya.
 
Tullow hana ubavu huo kwetu maana sisi hela tunazo, kumbuka bomba tunalijenga wenyewe. Lakini Uganda hela hawana, hivyo Total anachimba na kugharamia usafirishaji wake na ndio mojawapo wa sababu za wao kuchagua Tanzania maana kwenu ardhi ni bure.
Haha wakenya kwa vihoja, siwawezi. Maji ya Turkana yanawashinda kuchimba mpaka mnaita wawekezaji, itakuwa mafuta. Kama mna hela si mgechimba tokea mlipopata Uhuru. Nimekuambia, Total atarudisha gharama yake kutokana na mauzo ya mwanzo ya mafuta baada ya hapo Waganda ndio wakubwa wenyewe.
 
nchi yenye stima hafifu..1600 MW itaendesha treni zipi? .lol!..dont be surprised if it takes 20 years before the first trains start traveling...unless you want to buy electricity from ethiopia...
Haya ya stima yasikupe homa, SGR ya Tanzania itakuwa na chanzo chake cha stima ....enough said, i zip my mouth.
 
ShilawaDU yuko busy kupima mikojo ya wapinzani! Ndiyo Tanzania ya viwonder hiyo Mkuu.

Kwa mwendo huu Kenya,Uganda,Rwanda watakamilisha ujenzi wa SGR huku sisi busy kupimana mikojo.
 
Utaalam wa kugundua na kuchimba mafuta hatukua nawo, lakini hela tunazo za kujenga bomba.
 
Hao walikua ni watanzania wasio na akili siasa ruined their minds opposing even themselves.
 
nchi yenye stima hafifu..1600 MW itaendesha treni zipi? .lol!..dont be surprised if it takes 20 years before the first trains start traveling...unless you want to buy electricity from ethiopia...
Kitendo cha Tanzania kujenga electric trains kimekuuma mpaka unatia huruma sababu ni jambo ambalo hukulitegemea.
 
nchi yenye stima hafifu..1600 MW itaendesha treni zipi? .lol!..dont be surprised if it takes 20 years before the first trains start traveling...unless you want to buy electricity from ethiopia...

Hahaha huwa najiuliza hilo wazo la kununua umeme Ethiopia , hizo nguzo zitapita wapi kama Kenya wakigoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…