Museveni atema makohozi mbele ya camera Tv akihutubia Taifa

Museveni atema makohozi mbele ya camera Tv akihutubia Taifa

kwani waganda wenyewe wanasemaje inawezekana kwao ni kitu cha kawaida kabisa halafu camera haizuii makohozi au inawezekana ikawa ni ushauri wa sangoma au mesej kwa Bob wine
 
ina maana wasaidizi wake walishindwa kumuwekea 'pakti' la pipi kifua awe anamung'unya 😂 😂..!!
 
Ukishazeeka hivyo kila kitu unaona sawa tu
Bado na mikojo itakuja tu na hewa kutoka ukikohoa ni kawaida

Uzee unataka upumzike tu na zoezi lako liwe gardening tu na ibada kwa sana
 
kwani waganda wenyewe wanasemaje inawezekana kwao ni kitu cha kawaida kabisa halafu camera haizuii makohozi au inawezekana ikawa ni ushauri wa sangoma au mesej kwa Bob wine
Muhimu kujua mila na desturi za watu kabla ya kulaumu au kusifia
 
Back
Top Bottom