Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Mlitakaaa ateme mkojo???
WALITAKAA ATEME MAVIIKwanini aache makohozi!? Makohozi yanatakiwa kutemwa. Simple.
Tatizo liko wapi?!
πππππMungu alikuwa na makusudi gani na sisi watu weusi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....tuje tuje tu na sisi kushangaapo! haaahaaaMungu alikuwa na makusudi gani na sisi watu weusi!
we Must have a certain purpose but our time is not yet.Mungu alikuwa na makusudi gani na sisi watu weusi!
Na hata akimeza kesho watasema amemeza mbele ya TVShida ni nini kutema makohozi unataka ameze!?
Muhimu kujua mila na desturi za watu kabla ya kulaumu au kusifiakwani waganda wenyewe wanasemaje inawezekana kwao ni kitu cha kawaida kabisa halafu camera haizuii makohozi au inawezekana ikawa ni ushauri wa sangoma au mesej kwa Bob wine
Nashauri ajambe kabisaa itapendeza zaidi.