MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Hivi ni aide gani angeweza kujitia umbeya wa 'kumpita' MKUU? It's all animation!
Hehehe!! umenikumbusha documentary fulani ya Idd Amin, jamaa alipenda sana kushindana na watu wake lakini kila mtu alikua na uwoga wa kumshinda, hadi hata kuogelea.