Museveni atishia vita na Kenya kuhusu bahari ya Hindi

Museveni atishia vita na Kenya kuhusu bahari ya Hindi

Ningeshauri, kama kweli tumeshindwa kuziendesha bandari zetu zote, basi ni bora apewe PAKA badala ya Waarabu.
 
Mzee ameona bandari ina chain kubwa ya kiuchumi, kiasi ya kwamba kama bandari za hindi zimpa kikwazo basi uchumi wa Uganda utapotea.

Na Kwa nini anayoengea haya ameona viongozi waliopo ni wenye tamaa na wadhaifu,

Kama anataka aje aweke ubia , asifikiri atapewa Bure Bure TU 😂 Yan.
 
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, ameonesha nia ya kuunga mkono jitihada za kukuza uchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akisisitiza kuwa ushirikiano wa kikanda ni nguzo muhimu ya maendeleo ya mataifa ya eneo hilo.

Akizungumza katika hotuba yake, Museveni alisema kuwa Bahari ya Hindi ina nafasi kubwa katika kukuza biashara, uwekezaji na maendeleo ya uchumi wa Afrika Mashariki. Alieleza kuwa bahari hiyo ni rasilimali muhimu inayopaswa kutazamwa kama urithi wa pamoja wa mataifa ya ukanda huo.

"Ningewashauri Tanzania na Kenya kwamba katika katiba zao mpya waandike kuwa Bahari ya Hindi ni yetu sote,"

Alisema Museveni, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano katika matumizi na ulinzi wa rasilimali hiyo kwa manufaa ya wananchi wa Afrika Mashariki.

Maoni yako ni yapi katika hili?
Hlabda lake vi
Mzee ameona bandari ina chain kubwa ya kiuchumi, kiasi ya kwamba kama bandari za hindi zimpa kikwazo basi uchumi wa Uganda utapotea.

Na Kwa nini anayoengea haya ameona viongozi waliopo ni wenye tamaa na wadhaifu,

Kama anataka aje aweke ubia , asifikiri atapewa Bure Bure TU 😂 Yan.
Achana na iyo baharibhata lake Victoria tuna plan iwe ya Tanzania peke ake!!!
 
Hizi ni tamaa tu za kutamani rasilimali za wengine, kiufupi museveni ameshaona viongozi tulionao sio waadilifu na wazalendo kwahiyo anahisi itakuwa rahisi kupenyeza hiyo agenda yake
 
Anakwama wapi kunyoosha rula Jinja-Bukoba-Butiama-Kilimanjaro-Arusha-Tanga. Msee achange ujinga.
 
Asubiri kidogo Uganda watapata bahari baada la bonde la ufa kuongezeka
Screenshot_20260729-113159_Google.jpg
 
Back
Top Bottom