Museveni atishia vita na Kenya kuhusu bahari ya Hindi

Ningeshauri, kama kweli tumeshindwa kuziendesha bandari zetu zote, basi ni bora apewe PAKA badala ya Waarabu.
 
Mzee ameona bandari ina chain kubwa ya kiuchumi, kiasi ya kwamba kama bandari za hindi zimpa kikwazo basi uchumi wa Uganda utapotea.

Na Kwa nini anayoengea haya ameona viongozi waliopo ni wenye tamaa na wadhaifu,

Kama anataka aje aweke ubia , asifikiri atapewa Bure Bure TU πŸ˜‚ Yan.
 
Hlabda lake vi
Achana na iyo baharibhata lake Victoria tuna plan iwe ya Tanzania peke ake!!!
 
Mu7 anataka tuwe na katiba mpya bwana ila tusimsahau kwenye mgao wa indian ocean
 
Hizi ni tamaa tu za kutamani rasilimali za wengine, kiufupi museveni ameshaona viongozi tulionao sio waadilifu na wazalendo kwahiyo anahisi itakuwa rahisi kupenyeza hiyo agenda yake
 
Anakwama wapi kunyoosha rula Jinja-Bukoba-Butiama-Kilimanjaro-Arusha-Tanga. Msee achange ujinga.
 
Asubiri kidogo Uganda watapata bahari baada la bonde la ufa kuongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…