Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakenya wanampenda museveni kwa lipi??Kama hii habari ni kweli na haya maneno aliyasema M7 haina budi Dr.Besigye ajipe 'exile',yaani aihame Uganda,miaka hii mitano inayokuja itakuwa ya hatari kwake.Ila asidhubutu kuja Kenya.Wakenya wanampenda M7 si siri,pia inajulikana wazi kuwa serikali ya UKenyatta ina muunga mkono M7.