Museveni: Mataifa ya ulaya Waliwapotosha Watanzania Kufanya Ghasia

Museveni: Mataifa ya ulaya Waliwapotosha Watanzania Kufanya Ghasia

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Rais Yoweri Museveni ametoa onyo kwamba mataifa ya Ulaya yanaanzisha vurugu na machafuko katika eneo la Afrika Mashariki, akiwatuhumu kwa kuwapotosha vijana nchini Tanzania na mataifa mengine jirani kwa lengo la kuleta ukosefu wa utulivu na kudhoofisha juhudi za maendeleo ya viwanda na mafuta za Uganda.

Akizungumza katika kipindi cha redio kilichofanyika Ikulu ya Mbale siku ya Jumamosi, Museveni alisema kwamba watu wa nje “wanaohofia maendeleo ya Uganda” ndio wanaohusika na jitihada za kuchochea hali ya kutokuwa na amani katika eneo hilo.

Museveni alisema:


“Watoto wengi wanaopotoshwa nchini Tanzania na katika nchi nyingine wanachanganywa na mataifa ya Ulaya ambayo yana wasiwasi na maendeleo ya Uganda.”

Aliongeza kuwa:

“Viwanda vyetu vinaendelea kukua, mafuta yetu yanakuja — na wao wanataka kudhibiti rasilimali za Afrika.”
=============
President Yoweri Museveni warned that European powers are stirring unrest in East Africa, accusing them of misleading youth in neighboring Tanzania and other countries to destabilize the region and derail Uganda’s industrial and oil ambitions.

Speaking during a radio talk show at Mbale State Lodge on Saturday, Museveni said foreign actors “worried about Uganda’s progress” are behind efforts to incite instability.

“Most of these children being misled in Tanzania and other countries are being confused by European powers that are worried about Uganda’s progress,” said Museveni.

“Our industries are growing, our oil is coming — and they want to control Africa’s resources,” he added.

“But I must warn those confusing them that we shall crush them.”

His remarks followed reports of deadly unrest in Tanzania, where dozens of people were killed and scores injured during violent clashes that erupted after last month’s disputed local elections.

Security forces were deployed in several towns including Dar es Salaam, Mwanza, and Arusha to contain the riots, which observers say reflected growing frustration among the youth.
 
Mjinga sana huyu mzee,kwamba mataifa ya ulaya yaliingiza kura hewa,mataifa ya ulaya yalikataa uwepo wa tume huru ya uchaguzi na kupelekea jini mzanzibar kujigawia ushindi wa %98

Kwamba mataifa ya ulaya yaliteka watanganyika na kuwaua,au mataifa ya ulaya yaliwapa kesi gushi wapizani wa Samia akina Lissu na kupelekea Samuya kula hadi kuvimbiwa!!!?

Kama ndivyo basi na Mimi nayalaumu haya mataifa ya ulaya
 
Back
Top Bottom