Kwenye hii comment umejaza points nyingi ambazo unazidi kuwapaka matope hawa marais wako bora.
Maendeleo yao,,yapo kawaida sana.
Demokrasia rwanda na uganda zina demokrasia ?
Hivi unaweza kaa mbele ya hadhara na kusema hawa marais,watu wao wanawakubali ?
Mbona sasa wakikosolewa na watu wao hao wanaowakubali wanawauwa ?
Ukosowaji wa wazi unaofanywa kwa serikali hapa tanzania ukifanya rwanda kwa mr butcher paul kagame anakula kichwa fasta,hatakagi jamu na makelele ya wakosoaji.
Sent using
Jamii Forums mobile app