Muungwana, uanzia nyumbani kwake kisha kwa jirani yake na mwisho, masikio yake utua ng'ambo. Itazame Afrika mashariki, ufanye uchanganuzi katika ubora na siyo katika wingi. Ng'ombe akivujika marishoni ujikongoja na kutibiwa zizini mwake.
Hawa viongozi wametumia uzoefu wa China, makosa ya US na Italy, kuwalinda raia wao. Siku zote mtu mwerevu hutumia makosa ya watangulizi wake ili kuzuia makosa.
Tena wenye akili kuliko wengineNdo maana hawataki kutoka madarakani.
Nchi nzima wao tu ndo wenye uwezo wa kutawala
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndiyo siri kuu ya ushindi katika mapambano makali vitani, na wala siyo sauti za maombolezo.Kusali tunasali kila siku bila kupangiana simu ngapi? Ukiwa kiongozi unapaswa kuzama kisayansi zaidi unaweka mbele utaalamu sia sala! Kama nihivyo tungesali basis ukimwi uishe,ama tusali uchumi ukuwe!! Hii vita ya korona tuipambanie kitaalamu tuchukuwe hatua kubwa lakini bila kupaniki lasivyo tutaja juta.
- ibada zisimame tusalie nyumbani
- mabaa gauze tunywee nyumbani
- vyakula isisitizwe take away tusikaekae hotelini
- vifaa tiba viongezwe elimu pia
- misibani waende wachache sherehe ziahirishwe
- tupime watu wengi iwezekanavyo na idadi itajwe
- solo la kariakoo na mengine yenye msongamano yadhibitiwe biashara ifanyike kwa deliveries zaidi.
Tujipange maisha ya kila RAIA ni muhimu kwake na kwa taifa kiujumla! Let's get serious sio mpaka wafe wengi ndipo tushtuke... Ile kinga nibora kuliko tiba ni hakika sio kajimsemo!!!
Wahenga walisema kinga ni bora kuliko tiba, hata sisi tulikuwa na nafasi ya kuzuia vifo vya kizembe kama wao ila tulijifanya tunajua sana wacha tupambane na hali yetu, rate ya maambukizi inapanda kwa speed ya treni ya umeme, kweli hapa kazi tuu..Ungeleta faida za mpango wao,kifo hamna mtu anaweza zuia,kama wagonjwa wapo basi hamna walichokifanya cha maana ila ni bahati
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hii comment umejaza points nyingi ambazo unazidi kuwapaka matope hawa marais wako bora.Kuna tofauti kati ya Wao Kukataa kutoka Madarakani na Wananchi wao wa Uganda na Rwanda Kuwakubali na kuwa na Imani nao Kiuongozi. Je, Wewe unasimamia wapi hapa? Na je, hizo nchi zingine ambazo Marais wao ( wake ) hawang'ang'anii Madarakani na wanatoka Kikatiba katika Nyadhifa zao wao wana Maendeleo kivile na kuna Siasa zenye Tija na Demokrasia?
Kwenye hii comment umejaza points nyingi ambazo unazidi kuwapaka matope hawa marais wako bora.
Maendeleo yao,,yapo kawaida sana.
Demokrasia rwanda na uganda zina demokrasia ?
Hivi unaweza kaa mbele ya hadhara na kusema hawa marais,watu wao wanawakubali ?
Mbona sasa wakikosolewa na watu wao hao wanaowakubali wanawauwa ?
Ukosowaji wa wazi unaofanywa kwa serikali hapa tanzania ukifanya rwanda kwa mr butcher paul kagame anakula kichwa fasta,hatakagi jamu na makelele ya wakosoaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Ummy akitoa takwimu zake yeye anakua kapika! Hivi mnadhani vifo vya binaadam vinatangazwa kama wanavyotangaza mpira?Hayo ni majungu, mkuu. Tujikite kwenye takwimu halisi zitokazo uwanja vita.
Hahahaha hajui huyo kinachoendelea kuleKigali na kampala wanakufa njaa
Majumbani
Wananchi wa haya majiji wakiona comment yako hii wanakuchuna ngozi ukiwa hai
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosa tena points za kuwasifia hawa madikteta nadhaniJitahidi Uimarishe Kwanza uwezo wako wa Kufikiri kwani huenda ndiyo maana umepata taabu Kuelewa nilichokuandikia hapa.
Mbona mnanung'unika na kulalamika sana kwani tatizo ni Nini?! Kila kukicha ni kulalamika to what is the problem?!Hawa viongozi wametumia uzoefu wa China, makosa ya US na Italy, kuwalinda raia wao. Siku zote mtu mwerevu hutumia makosa ya watangulizi wake ili kuzuia makosa.
Trump amekiri kuwa Wamarekani wasingkufa kiaisi cha sasa kama wangekuwa wamejua mapema uzito wa tatizo. Hii ina maana anakiri kuna makosa wamefanya kutokana na kitokujua uziro wa Tatizo.
Mataifa ya Afrika hayana cha kusingizia. Wamejua kilichotokea China. Wanaona kinachoendelea Ulaya na America. Wanajua makosa yaliyofanywa na mataifa haya. Wao nao kupita kwenye njia ile ile, au ni kukosa akili au kiburi cha ujinga.
Kadada Bia Yetu nimetoka kukagonga sasa hivi?
Tupe idadi ya waliokufa njaa usisahau kumcc jiwe, pole pole na Dr. Bashite pleaseKigali na kampala wanakufa njaa
Majumbani
Wananchi wa haya majiji wakiona comment yako hii wanakuchuna ngozi ukiwa hai
Sent using Jamii Forums mobile app
Rwanda na Uganda ni nchi za kibabe kule watu wanakufa kwa corona na hata njaa kagame anaficha ili kuji overrate. Nonsense!!mahaba yamekuzidi mkuu, china, america, italia, spain kuna marais wabovu ndo maana kumekua na vifo vingi? au unawaza kwa kutumia makalio??
unapojenga hoja jitaidi kupunguza mahaba, hapo ndo akili itajenga hoja makini
Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya mateka 55 bila matokeo ya vifo. Hakika kazi wanaiweza vizuri sana.
Siku zote Marais waliopikwa vyema Kisiasa kisha wakapatiwa na Mafunzo mazuri ya Kijeshi na wakaja kuwa Wanajeshi ikitokea wakatawala nchi basi hiyo nchi itapiga mno hatua za Kimaendeleo kuliko wale Marais wanaotokea katika Maabara za Kikemia pekee huku wakiwa wamepita Jeshini kwa Miezi Mitatu tu. Hayati Baba wa Taifa Nyerere hakuwa Mjinga au Mpumbavu kuwapenda akina Museveni na Kagame kwani nje ya wao kuwa Wapambanaji wa Msituni lakini pia alishawaona kuwa wana Akili sana Vichwani mwao na wana Mapenzi ya Kweli na Wananchi wao.