Museveni na Kagame, heko!

Kama umemwelewa vizuri mtoa hoja ni "kutokupoteza yaani wagonjwa kupona bila kufariki"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani apa hamuui? Damu za watu wasio na hatia zimewahamishia Chato.Mnashinda kwenye mawe kama mijusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere vs M7 & PK: Damu nzito kuliko maji!
Kama hujaelewa naamini kuna wanaonielewa!
 
wanaokoa mateka kwa kutumia ‘silaha’ wanazopokea kutoka Bandari ya Dar es Salaam. Mungu ibariki Tanzania.
 
Very funny mkuu, YM amepikwa vizuri na nchi ya Uganda inapaa kimarndeleo!! This is hilarious mkuu.

Ukisikia ule msemo, "the grass is always greener on the other side" ndio kama hivi ulivyoandika.
 
Kwaiyo Uganda imepata maendeleo?
 
Watanzania unapenda misha sana, sacha corona itufundishe adabu...

Yaani hadi leo watu wanadhurura hovyo hovyo bila tahadhari yeyote....

Masomo yote biashara kama kawaida..
Ubungo terminal kama kawa...
Mwendo kasi kama kawa...

Media zote zifunge vipindi vyote vitangaze Corona tu...

Muombe Muumba wako huku unakimbia...sasa sisi tunaomba huku tumeketi na adui anazidi kutusogelea...huko ni kumjaribu Mungu wa Ibrahim, Mungu wa isaka....
 
Wewe jifungie Ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza.Mungu alituumba kwa mfano wake. Usifanye uzembe useme hakuna mtu anaweza kuzui kifo. Kifo kinazuilika.Acha uzembe
Hivyo Pilato akamwambia, “Husemi nami? Je, hujui kwamba ninayo mamlaka ya kukufungua na mamlaka ya kukusulubisha?” 11 Yesu akamjibu, “Hungekuwa na mamlaka yoyote juu yangu kama hungepewa na Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…