Museveni na Kagame, heko!

 
Uwezo wako wa kufikr na utafiti umeishia hapo, umesikia huko hakuna vifo eti, au unataka kila kitu uambie ukweli kuwa CORONA imeua watu kadhaa??

wewe kula tu uendelee na maisha yako mambo ya kuongoza nchi yana mambo mengi!!!
 
Nimeangalia soko la kariakoo na nikaangalia aina ya wateja na ushauri ulio utoa...no comment
 
Hiv we jamaa mtanzania kweli?maana unaakili sana! You think big.
 
Ha ha ha wanakufa kwa njaa.
 
Hayo ni majungu, mkuu. Tujikite kwenye takwimu halisi zitokazo uwanja vita.
Tanzania

1kg of rice is priced 1,000/-

Rwanda 1kg of rice is priced 2,600/-

Nani anakufa kwa njaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…