Museveni: Nitaondoka tu iwapo kuna mtu wa maana nitakayeona naweza kumuachia Uganda

Museveni: Nitaondoka tu iwapo kuna mtu wa maana nitakayeona naweza kumuachia Uganda

Hata mimi huwa ninakasirika kwel kwl nkiona baadhi ya viongozi wa bara la Afrika wanagoma kubanduka madarakani,alafu utawasikia wakisema wao ni wafuasi wa baba wa taifa letu la Tanzania(Mwl.Nyerere).Na hii unilazimu kupitia falsafa za mwalimu na sijawahi kuona ni wapi alisema au aliamini viongozi kusalia madarakani.Na mwisho wa siku nafanya hitimisho kuwa viongozi wetu wana kitu kinaitwa "psychological phobia of leadership",,namwomba Mungu sana isije kwetu huku.
 
Back
Top Bottom