Museveni: No country is more democratic than Uganda!

Waganda enzi hizo wasingelimkawiza sasa na wao ni sterile male
 
Mungu ampumzishe kwa amani huyu shujaaa. Walibya watajutia damu yake ndo maana hadi leo hakujapatikana serikali ya maana na maisha yamezidi luwa magumu.
 
Kwa Afrika mashariki wote sawa ukiitoa Kenya.
 
If I may be allowed to ask, what is a political fate befelling Besigye? This nyankole is supposed to pull up his socks up - more!
 
Oooh God! Just come down and listen to these voices. ^..^
 
Kwa aliyeelewa hiyo kauli hebu atufafanulie tafadhali😵😵😵😵
wana demokrasiaambayo inadefinition ya kwao wenyewe, na wanaendesha nchi kwa kutumia hiyohiyo maaana hakuna democrasia ya kweli kila mtu ana maana ya yakwake. so ya kwao ndio ya ukweli zaidi.
 
cha ajabu ni kwamba eti hata museveni nae ni sehemu ya viongozi wa iitwalo jumuia ya africa mashariki tena akiwa na ndoto za kuja kua rais wa kwanza wa jumuia hiii.mungu apishie mbali isije tokea kufikia hatua ya kua na raisi mmoja pindi museven na kagame wakiwa bado ni viongozi kwenye inchi zao.
 

RIP gadafi lkn sielewi kwanini alitaka kufanya nchi za ki Africa ziabudu Sana u Islam ndo zinufaike Sana na misaada yake
 

Hahaha kifupi ni kwamba bila ya uchumi wenye nguvu huezi ku practice democracy, full stop
 
Naomba dhana hiyo ya wanyonyaji iendelee hadi tutakaposhika adabu.Sababu Afrika vichwa vimejaa Maji na matumbo yamevimbewa viporo sana.
 
Democracy hizi zinavyotafsiriwa na viongozi wa ki Africa ni tofauti na zinavyotafsiriwa na wananchi na jumuiya za kimataifa.

Democracy gani Unagombea na wenzio wakiwa kizuizini ?!

Tena Besigye hata kesi hakuweza kufungua kupinga matokeo kwa kuwa hata Wakili wake hakuruhusiwa kumwona na kupeleka Nyaraka za madai ili aweke sahihi mpaka muda ulipokwisha.
 
Tena Besigye hata kesi hakuweza kufungua kupinga matokeo kwa kuwa hata Wakili wake hakuruhusiwa kumwona na kupeleka Nyaraka za madai ili aweke sahihi mpaka muda ulipokwisha.

Halafu mtu anaeakejeli kuwa Uganda inaongoza na haitaji msaada wa kidemkrasi. Yeye mwenyewe M7 aliingia msituni baada kuchezewa kwenye uchaguzi. Kweli sisi wanagamu na hasa Africa ni wabinafsi
 
Hii hii inayompiga raila mabomu kila j3
Ukilinganisha ktk nchi za E.A basi Kenya iko vizuri kidemokrasia iangalie katiba yao ndio utajua hilo. Raila anapambana na kitu walichokipitisha wenyewe (katiba inazuia raisi kuingilia au kuchagua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi) ya kuwa Rais ana mamlaka kisheria ya kumuwajibisha mwenyekiti wa tume ya uchaguzi sasa raila anamtaka mwenyekiti haondolewe na Rais kitu ambacho katiba hamruhusu.
 
Hatari kweli tuwe makini na vuguvugu LA kuitawala dunia ndo wanavyo Kwenda imebaki east africa will be the end of the game.be very carefully with politics.they confuse and find solution only freedom is from Jesus. Like Luther Jr.
 
Hata kama aliipenda sana Libya bado alikuwa na mapungufu yake. Haiwezekani mtu mmoja ajimilikishe nchi yeye na familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…