CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Waganda enzi hizo wasingelimkawiza sasa na wao ni sterile male
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ampumzishe kwa amani huyu shujaaa. Walibya watajutia damu yake ndo maana hadi leo hakujapatikana serikali ya maana na maisha yamezidi luwa magumu.Gaddafi hakuwa na tatizo soma historia ya utendaji wake kwa Libya na linganisha na Libya ya leo ya U.S.A, NATO na Ulaya hasa U.K na Ufaransa
Tatizo ni Ulaya na U.S.A kuhitaji mali za Libya na Afrika kwa ujumla wala si chochote/ Mbona hao USA hawasemi chochote juu ya demokrisia nchi za Asia mf. China na Japan? Sasa demokrasia imeumbiwa Afrika tu?
Gaddafi, hakutaka huo upuuzi wa mali za Libya kuchukuliwa kijingajinga bila malipo sawa, yaani hata bara la Afrika litamkumbuka sana Gaddafi.
Mf. Gaddafi alichangia nchi zingine kulipia annual fees ya African Union, na hata misaada ya kiuchumi [financial support], leo sema ni nchi ipi ya Ulaya inayochangia kwetu bila kutuwekea mashariti? Angalia MCC-Under USA.
Gaddafi, yeye alitaka pia Mafuta yake yanunuliwe kwa Dahabhu na sio dollar [kwa GADDAFI yeye dollar alikuwa anazilinganisha na makaratasi ya kawaida tu yaliyochongwa vizuri na kupakwa rangi na kuongezwa picha na nakishinakishi] hivyo yeye hakuhitaji ukasukukasuku wa kusifia wazungu.
AFRICA is different from U.S.A and Europe whatever approach can't be the same, no way.
ILA ZAIDI KUHUSU U.S.A NA EUROPE KUWA KINYUME NA AFRICAN LEADERS mfano mdogo huu hapa wa Gaddafi's projects for Africa na hela aliyozulumiwa na wazungu katika hii website Why the West Wants the Fall of Gaddafi? | Dissident Voice
Haaaa haaaa teeeh teeee!
wana demokrasiaambayo inadefinition ya kwao wenyewe, na wanaendesha nchi kwa kutumia hiyohiyo maaana hakuna democrasia ya kweli kila mtu ana maana ya yakwake. so ya kwao ndio ya ukweli zaidi.Kwa aliyeelewa hiyo kauli hebu atufafanulie tafadhali😵😵😵😵
Yeah.. Kizza Besigye's one big ample example of that democracy..
Aiseee M7 anaweza akaamua kumtuliza once & for all..!According to some reports Jamaa haijulikani alipo hivi sasa.
According to some reports Jamaa haijulikani alipo hivi sasa.
Kwa Afrika mashariki wote sawa ukiitoa Kenya.
Huu ni wakati wa kuhinua uchumi wa nchi yetu TANZANIA .Lazima Serilikali hitumie kila mbinu kuhinua hali ya maisha ya wananchi.Kwasasa hivi Tanzania uchumi wetu mkubwa hunatokana na kilimo.Kwahiyo serikali lazima hitafute njia zingine zaidi kuhingiza mapato na hajira zaidi.Nafikiri tatizo kubwa zaidi ktk nchi yetu ni hajira kuwepo na mikutano namna la kutatua tatizo hilo.Sasa hivi tunawasomi na wanauchumi lazima wakae pamoja nakufafanua na jinsi ya kuwasidia wananchi .
Safi sana acha wazungu watafasiri demokrasia yao na sisi waafrika demokrasia yetu.
Mfano Obama kaja kuhutubia Umoja wa Afrika hapa Addis Ababa kasema demokrasia , [anasema hivi "mimi nikihitaji kungombea awamu ya tatu marekani naweza ila tunademokrasia na haki za binadamu kisha anacheka" ila huyohuyo kaenda China hakutaja hata neno moja la demokrasia, kasemea uchumi na mambo mengine mengine tu!
Wanatuletea usela na siasa/ pia sela ambazo kwao hazina mantiki ili tupigane na kuuana waje na misaada na kuchukua mali zetu kiulainiiiiii!!!.
Haaa haaaaa, teeh teeeh ,Safi sana Museveni!!
Democracy hizi zinavyotafsiriwa na viongozi wa ki Africa ni tofauti na zinavyotafsiriwa na wananchi na jumuiya za kimataifa.
Democracy gani Unagombea na wenzio wakiwa kizuizini ?!
Tena Besigye hata kesi hakuweza kufungua kupinga matokeo kwa kuwa hata Wakili wake hakuruhusiwa kumwona na kupeleka Nyaraka za madai ili aweke sahihi mpaka muda ulipokwisha.
Ukilinganisha ktk nchi za E.A basi Kenya iko vizuri kidemokrasia iangalie katiba yao ndio utajua hilo. Raila anapambana na kitu walichokipitisha wenyewe (katiba inazuia raisi kuingilia au kuchagua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi) ya kuwa Rais ana mamlaka kisheria ya kumuwajibisha mwenyekiti wa tume ya uchaguzi sasa raila anamtaka mwenyekiti haondolewe na Rais kitu ambacho katiba hamruhusu.Hii hii inayompiga raila mabomu kila j3
Hata kama aliipenda sana Libya bado alikuwa na mapungufu yake. Haiwezekani mtu mmoja ajimilikishe nchi yeye na familia yake.Why the West Wants the Fall of Gaddafi? | Dissident Voice
What does Gaddafi's death mean for Africa? - BBC News
hizo website soma kama wajua kizungu utelewa kwanini wazungu hawakuhitaji Gaddafi awepo duniani,
GADDAFI TUTAMKUMBUKA SANA [ HASA PAN AFRICANIST ] ILA LIBYA WATAJUTA DAIMA KWA KUMTOA GADDAFI KAFARA WAKIFIKILI KUWA WAZUNGU NI MUNGU! KUMBE HAWAKUJUA KUWA WAZUNGU NI MASHETANI YENYE RANGI NZURI.