Museveni promotes his son Muhoozi to rank of Major General

Museveni promotes his son Muhoozi to rank of Major General

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amempandisha cheo mwanaye na kufikia ngazi ya Meja Jenerali.

Muhoozi Kainerugaba anatambulika kama mtu mwenye nguvu sana katika jeshi la nchi hiyo na wengi wanaamini kuwa anatengenezwa kwa ajili ya kumrithi baba yake ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 30 sasa.

Jenerali Kainerugaba amepinga kuwa baba yake anajitengenezea siasa za kifalme, lakini pia akiweka wazi malengo yake ya kuwa mwanasiasa.

Museveni alipata ridhaa ya kuiongoza Uganda kwa kipindi cha miaka 5 mwezi Februari kufuatia uchaguzi mkuu ambao pia ulishutumiwa vikali na Jumuiya ya Ulaya na Marekani.
======================

Museveni promotes Muhoozi to rank of Major General

Ugandan President Yoweri Museveni has promoted senior and junior army officers including his son Muhoozi Kainerugaba.

According to a May 16, 2016 statement, Uganda People’s Defense Forces (UPDF) under General Museveni as the Commander in Chief promoted Muhoozi from the rank of brigadier to Major General.

Major General Muhoozi is the commander of the elite Special Force Command (SFC) which provides security to the president, members of the first family and other sensitive installations in the country.

Who is GenMuhoozi
Gen Muhoozi was born on 24 April 1974 in Dar es Salaam, Tanzania Mr Museveni who has been President of since 1986.

As a child, Gen Muhoozi attended schools in Tanzania, Kenya and Sweden. After his father became President of Uganda, he attended schools like Kampala Parents School Kings College Buddo for a while and St. Mary's College Kisubi. He graduated in 1994.

latest005+pixx.jpg

Maj Gen Muhoozi Kainerugaba.

According to Wikipedia, he started military training in 1994 after he left high school. He then attended the University of Nottingham from 1996 till 1998. But he did not formally join the UPDF until 1999. That year, he was married and soon after, was admitted to the Royal Military Academy Sandhurst, graduating in 2000.

He was later admitted to Egyptian Military Academy where he took both the company and battalion commanders courses. He has also attended the Kalama Armoured Warfare Training School, in Kabamba, Mubende District, Central Uganda.

In 2007, Gen Muhoozi was admitted to a one-year course at the United States Army Command and General Staff College at Fort Leavenworth, Kansas, graduating in June 2008. Following that, he successfully completed the Executive National Security Programme at the South African National Defence College.

Museveni promotes Muhoozi to rank of Major General
 
1463458192192.jpg

Rais wa Uganda Yoweri Museveni,amempandisha cheo mwanaye na kufikia ngazi ya Meja Jenerali.

Muhoozi Kainerugaba anatambulika kama mtu mwenye nguvu sana katika jeshi la nchi hiyo na wengi wanaamini kuwa anatengenezwa kwa ajili ya kumrithi baba yake ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 30 sasa.

Jenerali Kainerugaba amepinga kuwa baba yake anajitengenezea siasa za kifalme, laikini pia akiweka wazi malengo yake ya kuwa mwanasiasa.

Museven alipata ridhaa ya kuiongoza Uganda kwa kipindi cha miaka 5 mwezi Februari kufuatia uchaguzi mkuu ambao pia ulishutumiwa vikali na jumuiya ya ulaya na Marekani.

BBC SWAHILI.
 
Huku prince alichelewa kidogo kuingia siasani ila nae angeukwaa unyerere
 
Africa inastahili Kuwa Masikini kwa kuwa tume opt hivyo!
 
"Major General Muhoozi is the commander of the elite Special Force Command (SFC) which provides security to the president, members of the first family and other sensitive installations in the country"..

Me call this, 'First things First'

Gotta make sure his behind is safe after that ukwakwasi election, and the only person to trust with that, his own blood. Way to go YM!

Hata kama katiba inaruhusu lakini kha!
Africa nakupenda kwa moyo wote! 🙂
 
Duuh.. Hayo ma course yote...kamaliza military academy zote...
Wacha apewe promo tu
 
Ingekuwa Rais wa Tanzania ndo kam-promote his son kuwa Major General kungepigwa kelele humu mpaka basi.

Tujifunze kitu hapa,
Yes the guy is Musevens kid,je anastahili au la? Ili ndo swali la kujiuliza.
Kama kuna fairness hakuna mtu angeweza kupiga kelele, sasa hapo unaona kabisa huyo kijana hajawahi kuwa jamaa kajiunga rasmi na Jeshi la Uganda 1999 leo ni Major General

Kwa kifupi jamaa ndio rais mtarajiwa, anaandaliwa urithi
 
Muhoozi Kainerugaba anatambulika kama mtu mwenye nguvu sana katika jeshi la nchi hiyo na wengi wanaamini kuwa anatengenezwa kwa ajili ya kumrithi baba yake ambaye amekuwa madarakani kwa miaka 30 sasa.

Jenerali Kainerugaba amepinga kuwa baba yake anajitengenezea siasa za kifalme, laikini pia akiweka wazi malengo yake ya kuwa mwanasiasa.

Museven alipata ridhaa ya kuiongoza Uganda kwa kipindi cha miaka 5 mwezi Februari kufuatia uchaguzi mkuu ambao pia ulishutumiwa vikali na jumuiya ya ulaya na Marekani.

Source: BBC Swahili
 
Hakuna demokrasia Afrika,hasa hii yetu ya Mashariki.
Hapo baba akistaafu mtoto ataingia madarakani kinguvu.
Kwa utawala huu itabidi damu imwagike kupata uhuru kwa mara nyingine.
 
Kama kuna fairness hakuna mtu angeweza kupiga kelele, sasa hapo unaona kabisa huyo kijana hajawahi kuwa jamaa kajiunga rasmi na Jeshi la Uganda 1999 leo ni Major General

Kwa kifupi jamaa ndio rais mtarajiwa, anaandaliwa urithi
Kwenye Jeshi lenu Tanzania Wapo wenye CV Kama hiyohiyo.
Uliza ujibiwe #Vigezo na masharti yazingatiwe
 
Hakuna demokrasia Afrika,hasa hii yetu ya Mashariki.
Hapo baba akistaafu mtoto ataingia madarakani kinguvu.
Kwa utawala huu itabidi damu imwagike kupata uhuru kwa mara nyingine.
Sio Afrika tu duniani kwa ujumla...fuatilia uchaguzi unaoendelea Marekani
 
TAtizo hapo sio RAIS dada yangu as you can see yeye anazungukwa na washauri na wapambe. Kuna watu wanapenda tu Rais awe madarakani ili waweze kufaidi maisha yaani wawepo pale kunyenyekea na kujipendekeza baasii wanakuwa matajiri familia zao zinafaidi. Hawa watapenda Rais aishi milele Ikulu. Hilo ndilo linalofanyika Uganda. Mwanaye atakuwa Rais siku moja na atabaki na familia zile zile zilizopo sasa na Rais wakiimba aishi milele mfalme aishi milele mfalme..Bila mapinduz Uganda hakutakuwa na utawala nje ya familia ya Museveni kama ilivyo Korea.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom