MATHIAS KABYEMERA
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,793
- 572
Nepotism
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa Rais wa Tanzania ndo kam-promote his son kuwa Major General kungepigwa kelele humu mpaka basi.
Tujifunze kitu hapa,
Yes the guy is Musevens kid,je anastahili au la? Ili ndo swali la kujiuliza.
Sasa ndo kusema hata huu mradi basi wa bomba ameamua kupeleka kwa mashemeji kama sehemu ya fadhila na bwana Muhoozi akija kupewa nchi ataimarisha uhusiano mwema na wajomba zake!
Na mtoto akistaafu mtoto wake ataingia madarakaniHakuna demokrasia Afrika,hasa hii yetu ya Mashariki.
Hapo baba akistaafu mtoto ataingia madarakani kinguvu.
Kwa utawala huu itabidi damu imwagike kupata uhuru kwa mara nyingine.
Mbona anatumia jina tofauti?
Ila jamaa kasoma mavyuo kibao

Dah we jamaa kiazi aisee. Malkia!!Na ampandishe tu,wanaotaka hako kwa mungi tu,wanaolalamika afrika hamna demokrasi kwani kwingine ipo?
Malkia elizabeth anatawala sehemu ngapi,australia,uingereza,ireland,scotland,kote huko watu hawaoni.
TAtizo hapo sio RAIS dada yangu as you can see yeye anazungukwa na washauri na wapambe. Kuna watu wanapenda tu Rais awe madarakani ili waweze kufaidi maisha yaani wawepo pale kunyenyekea na kujipendekeza baasii wanakuwa matajiri familia zao zinafaidi. Hawa watapenda Rais aishi milele Ikulu. Hilo ndilo linalofanyika Uganda. Mwanaye atakuwa Rais siku moja na atabaki na familia zile zile zilizopo sasa na Rais wakiimba aishi milele mfalme aishi milele mfalme..Bila mapinduz Uganda hakutakuwa na utawala nje ya familia ya Museveni kama ilivyo Korea.
Nawasilisha