BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Lkn pia, hatuoni demokrasia ktk vyama vyetu, hususan vya upinzani, ikizungumziwa....ni kama vile demokrasia inakuwa haipo ktk nchi zetu, pale tu "tunapopoteza" ktk uchaguzi mkuu...Na ampandishe tu,wanaotaka hako kwa mungi tu,wanaolalamika afrika hamna demokrasi kwani kwingine ipo?
Malkia elizabeth anatawala sehemu ngapi,australia,uingereza,ireland,scotland,kote huko watu hawaoni.
Nafuatilia na hadi mwisho wake ndipo utakapoweza kuja na hitimisho la uwepo wa demokrasia au lah pale Raid atakapotangazwa.Sio Afrika tu duniani kwa ujumla...fuatilia uchaguzi unaoendelea Marekani
Kumbe nawe una akili saa nyingine eeeh?Kila nchi ina matatizo yake hasa kwa nchi zetu za kiafrika,leo hii kwetu TZ ni kuwa ni MARUFUKU KWA UPINZANI KUSHINDA URAIS.
Mbona hata sasa kelele inapigwa ndo maana imekufika hapa, hata BBC waliitangaza.Ingekuwa Rais wa Tanzania ndo kam-promote his son kuwa Major General kungepigwa kelele humu mpaka basi.
Tujifunze kitu hapa,
Yes the guy is Musevens kid,je anastahili au la? Ili ndo swali la kujiuliza.
ana mguu mzuri hadi wivuHuyu jamaa inadaiwa mama yake mzazi ni mkazi wa pale Moshi
Ingekuwa Rais wa Tanzania ndo kam-promote his son kuwa Major General kungepigwa kelele humu mpaka basi.
Tujifunze kitu hapa,
Yes the guy is Musevens kid,je anastahili au la? Ili ndo swali la kujiuliza.[/QUOTE
Kapitishwa kiujanja ujanja na babake. Hajafuata mtiririko wa kupata vyeo vya kijeshi.
Afrika tumezidi.halafu marekani hakuna ujanjaujanja wa kijinga kama huu anaoufanya babu yako museveni.Sio Afrika tu duniani kwa ujumla...fuatilia uchaguzi unaoendelea Marekani
Haya ndio mambo wanayoyapenda kiongozi wa afrika.
Huyu jamaa inadaiwa mama yake mzazi ni mkazi wa pale Moshi
Kuna hoja zingine zinahitaji tafakuri ya kiutu uzima. Ni kweli, kusoma ni initiative ya msomaji mwenyewe. Msomaji akikataa kusoma hata iweje hatasoma. Pili ni nini kinachom-motivate Museven kuhakikisha mwanae anasomea uanajeshi tu? Mambo haya yangekuwa sahihi kama hakuna msukumo wa baba yake ambaye ni Rais. Na mnaoona hakuna shida kwenye hili mkumbuke kuwa kuna kesho, huyu kijana badae anaweza kuja kuwa msumbufu namba moja wa Tanzania. Tusishangae akirudia ya IDD AminIngekuwa Rais wa Tanzania ndo kam-promote his son kuwa Major General kungepigwa kelele humu mpaka basi.
Tujifunze kitu hapa,
Yes the guy is Musevens kid,je anastahili au la? Ili ndo swali la kujiuliza.
Si mzee wake aliwahi kufundisha Chuo cha Ushirika Moshi?
Na alikuwa mteja mzuri sana pale Mafuta Street