Museveni sasa kushtakiwa ICC

Museveni sasa kushtakiwa ICC

Walianza wakenya mpaka sasa serilikali ya kenya ina nidhamu baada ya kina uhuru na Luto kupelekwa. Inagawa waliokoka kwa mbinde na rushwa kubwa kulipa mashahidi kujitoa kwenye mchakato ile hali iliwashtua sana. Sasa kenya ni nchi nzuri kuliko yoyote EA

Kwani walihonga pesa yao au ni ya wakenya hao hao walioenda kuwashitaki, hasara ni ya wakenya wenyewe.
 
Ruto kijasho kilikuwa kinamtokaa mahakamani

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn kwa sasa Kenya [emoji1139] ni mfano wa kuigwa sana kwenye haki za binadamu na demokrasia kwa ujumla bila kusahau maendeleo wenzetu wanapaa
Kwani walihonga pesa yao au ni ya wakenya hao hao walioenda kuwashitaki, hasara ni ya wakenya wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walianza wakenya mpaka sasa serilikali ya kenya ina nidhamu baada ya kina uhuru na Luto kupelekwa. Inagawa waliokoka kwa mbinde na rushwa kubwa kulipa mashahidi kujitoa kwenye mchakato ile hali iliwashtua sana. Sasa kenya ni nchi nzuri kuliko yoyote EA
Kenya ni nchi ya mfano, sisi bado tunahangaika mpaka watu wasiokuwa na vyeti wanamfukuza ofisini Meya. Yaani Bashite ana mfukuza Meya wakati yeye mwenyewe hana vyeti
 
Walikamate tu hilo lidikteta!

Zee limeshajichokea lakini limo tu!

Hivi hawaonagi aibu? au angalau kuwa na nidhamu ya kawaida tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom