Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waafrika wanaonaga sifa kukacha tamaduni zao, wanaona za kishamba.
By the way siku hizi watu wanakasirishwa kwa vitu vidogo,
Sasa suala la hobby ya mtu ,kupenda kuingia jikoni au kutoingia, linamtoaje mkurugenzi wa Oxfam povu?
Ni utaratbu ambao yeye binafsi kajiwekea, na tusiforce tufanane.
Kwa hiyo mi nikiingia jikoni badala ya wife ndo tutaendelea? Mi sitaingia jikoni kamwe , maana kwa akili za huyu mwanamke itafikia kipindi atataka kunipangia zamu ya kupika, maana kama sa hv naenda kazini saa 12 asubuhi eti bado anataka nimsaidie kufanya usafi, nikirudi nimechoka nimekaa napumzika anataka nikamnunulie kitu dukani huwa namwangalia tu, simjibu kitu na wala sifanyi chochote anachotaka, inafikia kipindi ananiona mimi kama simjaliIko hivi kwa mila za kiafrica kazi ya upishi kimsingi ni ya mke ,lakini hii haimaanishi mume asiingie jikoni mwaka ,kama huna kazi mko nyumbani wawili basi msaidie kuchambua mchele ,kuosha vyombo ,na chochote ,aidha ikitokea ameshinda kwenye vikoba sio mbaya ukapika ,yaani sio kazi ya kike ni kitu kwa mila na mapenzi tulimpa mwanamke heshima ya kumiliki jiko,Jamani ndo maana hatuendelei
Mwanaume kupika sio kuendelea[emoji3] [emoji3] [emoji3]Iko hivi kwa mila za kiafrica kazi ya upishi kimsingi ni ya mke ,lakini hii haimaanishi mume asiingie jikoni mwaka ,kama huna kazi mko nyumbani wawili basi msaidie kuchambua mchele ,kuosha vyombo ,na chochote ,aidha ikitokea ameshinda kwenye vikoba sio mbaya ukapika ,yaani sio kazi ya kike ni kitu kwa mila na mapenzi tulimpa mwanamke heshima ya kumiliki jiko,Jamani ndo maana hatuendelei
Hats uarabuni mwanamke kuendesha gari wameruhusu juzi ,wajukuu wako watakuja elewa we bado ni kawaida zamani mwanaume wa kikulya kupika ilikuwa mkosi Leo wanamigahawa tena wanapika biliani la ngamia usijali hata posta mpya waliwahi ishi nyani wakati ukifika nyani wataondoka kichwani utakuwa na maghorofaMwanaume kupika sio kuendelea[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu mseveni ni kioo cha jamii ungesem wewe funding viatu tungesema illiterate kaongea ,mkuu jamii zote duniani zilikuwa na tamaduni nzuri na mbaya ,kitu inaitwa sayansi na civilisation ilizibadili zote mfano wazungu walikunakula watu ,wanamtupa MTU mwenye ukoma etc walojicheck kisayansi waacha ,mila zetu ni kutailaili watoto wakike so tuendelee?Waafrika wanaonaga sifa kukacha tamaduni zao, wanaona za kishamba.
By the way siku hizi watu wanakasirishwa kwa vitu vidogo,
Sasa suala la hobby ya mtu ,kupenda kuingia jikoni au kutoingia, linamtoaje mkurugenzi wa Oxfam povu?
Ni utaratbu ambao yeye binafsi kajiwekea, na tusiforce tufanane.
hahahaKwahiyo Kiza Besigye huwa anapika ?
No wonder hata urais haupati