Iko hivi kwa mila za kiafrica kazi ya upishi kimsingi ni ya mke ,lakini hii haimaanishi mume asiingie jikoni mwaka ,kama huna kazi mko nyumbani wawili basi msaidie kuchambua mchele ,kuosha vyombo ,na chochote ,aidha ikitokea ameshinda kwenye vikoba sio mbaya ukapika ,yaani sio kazi ya kike ni kitu kwa mila na mapenzi tulimpa mwanamke heshima ya kumiliki jiko,Jamani ndo maana hatuendelei