Museveni: Sina tamaa na madaraka

Museveni: Sina tamaa na madaraka

MALANGA LANGA

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2023
Posts
362
Reaction score
1,081
1688668485959.png

Raisi wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni amedai kuwa ameridhika na ufugaji wa ng'ombe wake nyumbani na hana tamaa na madaraka.

Kiongozi huyo amesema hayo wakati akimpigia kampeni mgombea ubunge wa Oyam kaskazini Bw. Samuel Engola kupitia tiketi ya chama cha (NRM) ambaye anawania nafasi hiyo ili kuchukua nafasi ya Charles Okello Engola aliyeuawa kwa kupigwa risasi na mlinzi wake Mei 2, 2023.

Hata hivyo raisi huyo amesema kuwa chama chake kipo kwa ajiri ya maendeleo ya wananchi hivyo wataanzia pale alipoishia Okello Engola.
 
Back
Top Bottom