The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
nchi yako ni tajiri namba ngapi Duniani?Amekaa miaka 40 madarakani na Uganda ni mojawapo ya nchi maskini kabisa Africa.
Hataki kuwa msaliti,umaskini wa Uganda unatokana na uvivu wa wananchi kutofanya kaziAmekaa miaka 40 madarakani na Uganda ni mojawapo ya nchi maskini kabisa Africa.
Sasa si Bora amekumbukaMbona anakumbuka shuka kumekucha. Miaka yote zaidi ya 35 ya kuitawala Uganda alikuwa wapi kuiweka huo msimamo.
Museveni ni kati ya viongozi wa Afrika wanaolitia bara hili aibu kwa kunajisi demokrasia kwa kuendesha chaguzi za maigizo na kukandamiza wapinzani.Yeye ndio msaliti namba moja wa bara tangu mwaka 1986 yuko madarakani kimagumashiAmekaa miaka 40 madarakani na Uganda ni mojawapo ya nchi maskini kabisa Africa.
Miga Miga.Ujumbe huu uende moja kwa moja kwenye geto la Lisu
Hataki kuwa msaliti,umaskini wa Uganda unatokana na uvivu wa wananchi kutofanya kazi
Hamna bora hapo. hapo kuna njama za kugombea tena Urais uchaguzi ujao. Akishinda tu biashara kaka kawa. Mzalendo alikuwa Magufuli tu. Alipokusa wapigaji wamerudi kule kwa zamani, hadi mchanga tunausafirisha,.Sasa si Bora amekumbuka
Bora hata kajua Leo akiwa haiHahahaaa!!! Ndio anajua leo. Alikua wapi kuzuia zaidi ya miaka 35 yake km mkuu w nchi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kete za kuchezea baoHapo anachokifanya Museveni ni kuitumbukiza nchi kwenye shida tu. Wazungu wana syndicate ya kufa mtu juu ya haya madini.
Aende Kuzimu akamuulize Magufuli. Alipojenga ukuta kule Mererani na kuzuia wazungu kujinunulia tanzanite watakavyo thamani yake ilishuka kwa 90% ikaanza kutumika kama kete za kuchezea mchezo wa bao.
Alipowakataza kununua korosho watakavyo, korosho ikaonekana kama samadi.
Museveni yeye amekula chumvi nyingi hana cha kupoteza. Anasubiria parapanda tu.
Ila kweli waganda ni wavivu sana. Kilimo tu ingewatoa bila hata madini. Ardhi yao yote ni rotubaRemind me amekaa hapo kwenye hiko kiti for how many years yet? Wananchi ni wavivu? Yeye kama kiongozi amefanya nini ? Au amewaacha wawe wavivu?