Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Mwaka ujao 2021 Museveni anaenda, hatoboi Muzungu keshamchoka na sasa na hatomkingia kifua tena, color revolution imeingia Uganda, kutatokea maandamano makubwa nchini Uganda ambayo hayajawahi kuonekana na hakuna kitu Museveni atafanya, bye bye Mzee Kaguta.
Robert Kyagulanyi (38)
Robert Kyagulanyi (38)