Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Mzee Kaguta atatumia nguvu kuyavunja hayo maandamano.Maandamano ya Uganda yanafadhiliwa na nje ya Uganda, ni wale wale waliofadhili maandamo Afrika Kaskazini, Latin Amerika, Ukraine na kwingineko, wanaita color revolution, ...