Nakubaliana na wewe kwa mwaka 2021 siasa za uganda zitabadilika sana...na kuna nafasi ndogo sana kwa museven kubakia madarakani natabili mtikisiko wa siasa uganda.Mwaka ujao 2021 Museveni anaenda, hatoboi Muzungu ameshamchoka na sasa na hatomkingia kifua tena, color revolution imeingia Uganda, kutatokea maandamano makubwa nchini Uganda ambayo hayajawahi kuonekana na hakuna kitu Museveni atafanya, bye bye Mzee Kaguta , ...
Robert Kyagulanyi (38)View attachment 1661192
Wacha tuone.
Kwa jinsi navyomuona mzee Kaguta alivyo mbishi na mpenda madaraka sijui kama atatoka kirahisi rahisi
Kuna muitikio wa maandamano ya wananchi kwa kiasi gani huko mkuu?? Maana bongoland huku huwa tunaandamania mtandaoni sio barabarani
Sasa mbona hawakufadhili maandamano na huku Tanzania kipindi Lissu alivyotaka tuandamane au tuseme Wazungu hawajaichoka Ccm?Maandamano ya Uganda yanafadhiliwa na nje ya Uganda, ni wale wale waliofadhili maandamo Afrika Kaskazini, Latin Amerika, Ukraine na kwingineko, wanaita color revolution, ...
Sasa mbona hawakufadhili maandamano na huku Tanzania kipindi Lissu alivyotaka tuandamane au tuseme Wazungu hawajaichoka Ccm?
Nchi hii vitu vya vijinga kabisa ambavyo unaweza kudhani haviwezi kufanywa na binadamu mwenye akili timamu, wao ndio huwa wanafanya.
Taasisi inaongozwa na watu hivyo hakuna tofauti labda useme tu kwamba wazungu hawajaichoka hiyo taasisi.Ndiyo jibu ni hilo, isitoshe CCM siyo mtu bali ni taasisi, hivyo hamna tatizo, ila Uganda ni Museveni sasa shida ipo hapo, ...
Taasisi inaongozwa na watu hivyo hakuna tofauti labda useme tu kwamba wazungu hawajaichoka hiyo taasisi.
Ukombozi umekaribia. Baada ya Uganda naamini Tanganyika utafunguliwa kutoka kwenye minyonyoro ya yule maovuMwaka ujao 2021 Museveni anaenda, hatoboi Muzungu ameshamchoka na sasa na hatomkingia kifua tena, color revolution imeingia Uganda, kutatokea maandamano makubwa nchini Uganda ambayo hayajawahi kuonekana na hakuna kitu Museveni atafanya, bye bye Mzee Kaguta , ...
Robert Kyagulanyi (38)View attachment 1661192