mkuu karibu kifungua kinywaHukupaswa kumjibu chochote
Labda wewe ndio unamchukia Trump. Mimi simchukii yeyote kati ya wagombea uchaguzi kwani mambo ya wamarekani hayanihusu wakiamua kumchagua yoyote kati ya wanaogombea sawa tu.Trump tunamchukia bure tu... Viongozi wa afrika majanga
Natamani siku moja umuone huyu kiumbe kwenye uhalisia wake
Hapa mshana Jr. Alikimbia nduki, wakazama PM na bidadaIlikuwa kwenye hii thread hapa chini:-
Sherehe za kichawi huondoka na roho ya mtu
Na hiki ndo bushland aliandika baada ya kuona coment ya FaizaFoxy.
Coment yake FaizaFoxy hii hapa chini
Wakati mashine ya kutibu cancer kwa njia ya mionzi ikiwa imeharibika kwenye hospitali kuu nchini Uganda na kusababisha wagonjwa zaidi ya mia mbili kukosa tiba kila mwezi, Museveni ametumia Shilingi bilioni 15 kwa siku moja tu kwenye sherehe za kumpongeza kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa nchi hiyo
Awali mashine hiyo iliyokuwa iliharibika mara kwa mara ilipigwa marufuku kutumika na kamati ya baraza la nyuklia duniani kutokana na madhara yake kwa mafundi na wa wagonjwa
Kwasasa inadaiwa nchi haina fedha na itabidi kusubiri si chini ya miaka miwili kuweza kupata mashine nyingine
bushland mwanzoni nilimchukulia kawaida lakini baadae nikawa na maswali mengi juu yake kisha nikaamua kumpotezea, naikumbuka hiyo post
hii ni habari kama nyingine, ipo mitandaoni sana...
hata bbc wametangaza kuharibika kwa mashine ya mionzi....