Museveni tumia akili japo kidogo

Museveni tumia akili japo kidogo

Labda wewe ndio unamchukia Trump. Mimi simchukii yeyote kati ya wagombea uchaguzi kwani mambo ya wamarekani hayanihusu wakiamua kumchagua yoyote kati ya wanaogombea sawa tu.
Si kweli kwamba mambo ya wamarekani hayakuhusu!!..... Yanakuhusu sana kwani kuna mikataba mingi ya uwekezaji tumeingia nao, kuna mambo ya misaada na uhisani na mengineyo, yote haya huwa yanakuwa affected/effected na mtu atakaechaguliwa kama rsisi huko marekani!
 
Wakati mashine ya kutibu cancer kwa njia ya mionzi ikiwa imeharibika kwenye hospitali kuu nchini Uganda na kusababisha wagonjwa zaidi ya mia mbili kukosa tiba kila mwezi, Museveni ametumia Shilingi bilioni 15 kwa siku moja tu kwenye sherehe za kumpongeza kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa nchi hiyo
Awali mashine hiyo iliyokuwa iliharibika mara kwa mara ilipigwa marufuku kutumika na kamati ya baraza la nyuklia duniani kutokana na madhara yake kwa mafundi na wa wagonjwa
Kwasasa inadaiwa nchi haina fedha na itabidi kusubiri si chini ya miaka miwili kuweza kupata mashine nyingine
Ni fahari kuwa Mwafrica lakini ni fedheha kuwa na akili za akiafrica
 
Wakati mashine ya kutibu cancer kwa njia ya mionzi ikiwa imeharibika kwenye hospitali kuu nchini Uganda na kusababisha wagonjwa zaidi ya mia mbili kukosa tiba kila mwezi, Museveni ametumia Shilingi bilioni 15 kwa siku moja tu kwenye sherehe za kumpongeza kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa nchi hiyo
Awali mashine hiyo iliyokuwa iliharibika mara kwa mara ilipigwa marufuku kutumika na kamati ya baraza la nyuklia duniani kutokana na madhara yake kwa mafundi na wa wagonjwa
Kwasasa inadaiwa nchi haina fedha na itabidi kusubiri si chini ya miaka miwili kuweza kupata mashine nyingine

Ni kweli hiyo mashine iliharibika tena beyond repair,lakini tayari serikali ya Uganda ilisha deposit 325,297 Euros (Shs 1.2bn) at IAEA kwaajili ya new machine,hivyo ni swala la muda tu kwao kusubiri ili kuwa na mashine mpya na ya kisasa kwa kuwa hata hiyo mashine waliyokuwa nayo ni outdated (cobalt 60 ya mwaka 1995)

alafu mkuu kuharibika kwa hiyo machine hakumaanishi watu ndio watakufa sasa cause there are other modalities of cancer treatment which are still available and they include chemotherapy, surgery, high dose of brachytherapy for treating cancer of the cervix and palliative care,so athari haziwezi kuwa kubwa kama vile media zinavyokurupuka na kumshambulia M7 utafkiri ameiharibu yeye.
 
Ni kweli hiyo mashine iliharibika tena beyond repair,lakini tayari serikali ya Uganda ilisha deposit 325,297 Euros (Shs 1.2bn) at IAEA.

alafu mkuu kuharibika kwa hiyo machine hakumaanishi watu ndio watakufa sasa cause there are other modalities of cancer treatment which are still available and they include chemotherapy, surgery, high dose of brachytherapy for treating cancer of the cervix and palliative care,so athari haziwezi kuwa kubwa kama vile media zinavyokurupuka na kumshambulia M7 utafkiri ameiharibu yeye.
Argument yangu ni kutumia 15b kwa sherehe za kujipongeza huku kukiwa na tatizo kubwa kana hilo...kumbuka hiyo mashine ina zaidi ya miezi miwili sasa tangu iache kufanya kazi kabisa
Tuwe wakweli hapa vipaumbele havikuzingatiwa
 
Mimi naona ukweli kwamba mzee atoe hela yake mwenyewe kwa sababu mimi toka nitiie fahamu huyu mzee niraisi kwahio mimi namuona ni multi-billion
 
Argument yangu ni kutumia 15b kwa sherehe za kujipongeza huku kukiwa na tatizo kubwa kana hilo...kumbuka hiyo mashine ina zaidi ya miezi miwili sasa tangu iache kufanya kazi kabisa
Tuwe wakweli hapa vipaumbele havikuzingatiwa

Mkuu ni wiki moja tu hadi sasa pale Mulabo hawatumii hii mashine kwasababu ya kuharibika na sio miezi miwili kama unavyosema hapo juu.

Kuhusu M7 kutumia 15b kufanya sherehe hiyo sio sahihi haswa kwa nchi maskini kama uganda,lakini nafkiri hilo ni swala lingine na kwa mtazamo wangu sidhani kama lina mahusiano na hili la mashine kwa kuwa ndani ya siku tatu za mwanzo tayari fedha zilishalipwa ni mashine tu inasubiriwa na serikali ya Uganda imeshawatengenezea wagonjwa utaratibu wa kuwapeleka nchi jirani iwapo kuna ulazima.
 
Hii yaweza kuwa taarifa mpya kwakweli ila sakata la hii mashine kuharibika lina wiki sasa na limejadiliwa kwa kina BBC na Deuch Welle
Ubovu wake pia ni wa muda mrefu mpaka kufikia hatua ya kufungiwa na kamati ya nguvu za atomic duniani
Kama hili unalosema ni kweli basi kuna upotoshaji mkubwa wa hizi taarifa toka vyanzo nilivyoainisha
 
ImageUploadedByJamiiForums1460623013.541759.jpg

Kama unavyoiona hapo juu ni kweli hali yake ilikuwa siyo nzuri kwa muda mrefu lakini kuharibika kwake rasmi ni siku saba zilizopita.
 
Inategemea kipi kilitangulia; mashine kuharibika au sherehe ya pongezi
 
Huyu kwa staili hii bomba la mafuta litapita Tz kweli.? Kwa alichokifanya haendani kabisa na Magu! This man is not serious with his people! Watu wanaangamia yeye anatumia mabilion kwenye sherehe ambayo haina manufaa kwa Taifa na watu wake
 
Sawa na kumuacha mtoto kitandani anayeumwa kwa wiki kadhaa uende ukatumie pesa nyingi kwenye sherehe za birthday
 
Back
Top Bottom