Ni kweli hiyo mashine iliharibika tena beyond repair,lakini tayari serikali ya Uganda ilisha deposit 325,297 Euros (Shs 1.2bn) at IAEA.
alafu mkuu kuharibika kwa hiyo machine hakumaanishi watu ndio watakufa sasa cause there are other modalities of cancer treatment which are still available and they include chemotherapy, surgery, high dose of brachytherapy for treating cancer of the cervix and palliative care,so athari haziwezi kuwa kubwa kama vile media zinavyokurupuka na kumshambulia M7 utafkiri ameiharibu yeye.