MUSEVENI: Uganda territory extends up to Nakuru, Mzee Kenyatta grabbed our land

Hahhahah, Kenya na Uganda watakuwa na Nuclear Bombs wanataka wajaribu
 
this shows how other countries wana wivu na wakenya...tanzania included😛😛😛😛😉😉😉ngoja uone povu
we jamaa boya kweli TANZANIA tunawaonea wivu ndo kutwa mnashinda mnatangaza vitu vya TANZANIA ni vya kwenu! mlima Kilimanjaro wa kwenu, Pemba ya kwenu, Samatta wa kwenu nk... nadhan mixture ya miraa na chang'aa mnayotumia inawaendesha vibaya..
 
yeeeeaaaaah.
hata wewe ni wetu!
we jamaa boya kweli TANZANIA tunawaonea wivu ndo kutwa mnashinda mnatangaza vitu vya TANZANIA ni vya kwenu! mlima Kilimanjaro wa kwenu, Pemba ya kwenu, Samatta wa kwenu nk... nadhan mixture ya miraa na chang'aa mnayotumia inawaendesha vibaya..
 
Hii map nimeitafuta sana.asante. M7 hana lolote, kazi yake kubwa ni kudaydeam of african empire,maendeleo kwa waganda wote bila kuzingatia kabila, ameshindwa. Afu ameongoza na kudhamini mauaji ya jinai karibu zote ukanda huu wetu tangu miaka ya 90. Ikumbukwe pia anavyowakandamiza akina Besigye, angethubutu hiyo kwa mkenya tukikubali hayo mipaka ya wakoloni irudi leo hii? shidwe!
 
Kila mtu atulie na alicho nacho leo, kama hukunyakua chako mapema usizingue watu. Leo hii hamna mpaka unaoweza kuchorwa upya, labda kwa ngumi. Na ndio maana kule Tanzania wanataka ziwa Malawi ichorwe upya lakini Wamalawi wameapa hata kwa ngumi.

Tukiachia pumba za kihivi tutapoteza kila kitu, maana Zanzibar wanaweza wakadai Mombasa, halafu na sisi tuchukue mkoa wa Kilimanjaro na Wachagga wetu.
Burundi wachukue Kigoma yao, Sudan Kusini wachukue Turkana.
 
Ziwa malawi/ nyasa ichorweje upya, wakati ilishachorwa na mpaka upo katikati. Wao ndio wanaota wanataka ramani ichorwe upya na ziwa lote liwe lao.
 
Umeitafuta wapi ? Mbona ipo H.E. Yoweri Kaguta Mseveni meant this ma! Yaani hata Somalia mliwaibia!


Historic Mombasa - Uganda


nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Wewe na vituko lakini.Basi warwanda na warundi warejee tanganyika kulingana na hiyo map. Na ziwa nyasa lirudi kwa wenyewe.
 
Wakati east african countries wanataka kuvunja mipaka, still museve wants to rise and wagombane na kenya sababu ya mipaka. This is nonsense again like wise amid didi in 1978 na tukantia adabu so uganda again will be defeated.
 
Ziwa malawi/ nyasa ichorweje upya, wakati ilishachorwa na mpaka upo katikati. Wao ndio wanaota wanataka ramani ichorwe upya na ziwa lote liwe lao.

Ramani huwa zinaonyesha mpaka kati ya Malawi na Msumbiji huwa pasu, lakini kwenu upo kwenye fukwe.
 
Wanafaa waulize wakisii wakuria wajaluo wakale kama wanataka kuwa waganda .......i am kisii and i will die fighting For Kisii to remain in Kenya or be its own standalone republic not become uganda ... mse akisema banana republic hata in a good light i usually picture uganda since i was in primary
 
East african dictators are busy looking for war with Kenya

Mara Somalia without an army Mara SS Ethiopia Uganda hehe

Dont wish for something u cant handle Kenya has collctively bought and stockpiled almost 70bn$ worth of weapons toka 1980s na the next 5yrs alone we will use 12bn$ on weapons alone

Alshabaab wasiwape morale muingilie Kenya

Kuna ma Psycho Kenya Hamuwezi wahandle wakianza war mongering and politics kwa mix

Muangalir Mau mau pekee wawape kionjo ya mkenya anaye pigania Ardhi yake ....msijione mumenunua ndege mbilo halafu mkadhani sasa Hata Kenya mtaiweza ...Kenya itawapakua na Propaganda Hata kabla vita yenyewe ianze ...By the time tunaanza vita mtakuwa wengine
 
Savage[emoji23] [emoji23]
 
Ethiopia initially in 1901 to avoid british takeover dropped its wish to have the empire extend to Mombasa


Elemi triangle will be a really hot issue when SS gets better


Somalia wants a greater Somalia

There will be more wars in East Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…