Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Hahhahah, Kenya na Uganda watakuwa na Nuclear Bombs wanataka wajaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we jamaa boya kweli TANZANIA tunawaonea wivu ndo kutwa mnashinda mnatangaza vitu vya TANZANIA ni vya kwenu! mlima Kilimanjaro wa kwenu, Pemba ya kwenu, Samatta wa kwenu nk... nadhan mixture ya miraa na chang'aa mnayotumia inawaendesha vibaya..this shows how other countries wana wivu na wakenya...tanzania included😛😛😛😛😉😉😉ngoja uone povu
we jamaa boya kweli TANZANIA tunawaonea wivu ndo kutwa mnashinda mnatangaza vitu vya TANZANIA ni vya kwenu! mlima Kilimanjaro wa kwenu, Pemba ya kwenu, Samatta wa kwenu nk... nadhan mixture ya miraa na chang'aa mnayotumia inawaendesha vibaya..
Kuna wana jf wanapenda vita!we shall beat them to oblivion...wanacheza na kenya economic political and military giant!!!
Ziwa malawi/ nyasa ichorweje upya, wakati ilishachorwa na mpaka upo katikati. Wao ndio wanaota wanataka ramani ichorwe upya na ziwa lote liwe lao.Kila mtu atulie na alicho nacho leo, kama hukunyakua chako mapema usizingue watu. Leo hii hamna mpaka unaoweza kuchorwa upya, labda kwa ngumi. Na ndio maana kule Tanzania wanataka ziwa Malawi ichorwe upya lakini Wamalawi wameapa hata kwa ngumi.
Tukiachia pumba za kihivi tutapoteza kila kitu, maana Zanzibar wanaweza wakadai Mombasa, halafu na sisi tuchukue mkoa wa Kilimanjaro na Wachagga wetu.
Burundi wachukue Kigoma yao, Sudan Kusini wachukue Turkana.
Umeitafuta wapi ? Mbona ipo H.E. Yoweri Kaguta Mseveni meant this ma! Yaani hata Somalia mliwaibia!Hii map nimeitafuta sana.asante. M7 hana lolote, kazi yake kubwa ni kudaydeam of african empire,maendeleo kwa waganda wote bila kuzingatia kabila, ameshindwa. Afu ameongoza na kudhamini mauaji ya jinai karibu zote ukanda huu wetu tangu miaka ya 90. Ikumbukwe pia anavyowakandamiza akina Besigye, angethubutu hiyo kwa mkenya tukikubali hayo mipaka ya wakoloni irudi leo hii? shidwe!
Wewe na vituko lakini.Basi warwanda na warundi warejee tanganyika kulingana na hiyo map. Na ziwa nyasa lirudi kwa wenyewe.Umeitafuta wapi ? Mbona ipo H.E. Yoweri Kaguta Mseveni meant this ma! Yaani hata Somalia mliwaibia!
![]()
Historic Mombasa - Uganda
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Ziwa malawi/ nyasa ichorweje upya, wakati ilishachorwa na mpaka upo katikati. Wao ndio wanaota wanataka ramani ichorwe upya na ziwa lote liwe lao.
Vipi kuhusu migingo?let them dare...ndio watajua hii sio vita kama ya al shabaab...
Savage[emoji23] [emoji23]Wanafaa waulize wakisii wakuria wajaluo wakale kama wanataka kuwa waganda .......i am kisii and i will die fighting For Kisii to remain in Kenya or be its own standalone republic not become uganda ... mse akisema banana republic hata in a good light i usually picture uganda since i was in primary
I remember idd amin the last time he tried to concur part kagera, he end up being fucked by Nyerere...!!...But Amin was right part of Kagera is belong to Uganda.
Ethiopia initially in 1901 to avoid british takeover dropped its wish to have the empire extend to MombasaTell him to write down whatever resentment he still has on paper, then roll the paper nicely and shove it up his alley ...
We can also speak mockingly too!
Mule east Somali wanadai border yao, mule northwest South sudan wanadai chao
Huku west Museveni mate....
Naona tukiendelea hivi mwishowe watakuja ungana watu undermine kisiri au watuvamie kwa pamoja... I know its hard to imajin it happening but you shiit happens and when it does it can happen pretty quickly, am sure Syrians never thought they would ever be refugees a decade ago
Hahahahahahaha we boya kweliyeeeeaaaaah.
hata wewe ni wetu!