MUSEVENI: Uganda territory extends up to Nakuru, Mzee Kenyatta grabbed our land

Si kwa ubaya Kenyan civialians alone have more weapons than the Ugandan Military nothing brings Kenyans together than an outsider interference Fam .....utaskia 20mn kenyans wanasign up KDF KWS KP AP NYS kupigania inchi ndio watuwatajua Kenya ni moto ya Mbali Buda!
 
Juzi juzi wametoka kuzuia maziwa na mayai ya Uganda. [emoji3] sisi hatujalalamika
Wewe na vituko lakini.Basi warwanda na warundi warejee tanganyika kulingana na hiyo map. Na ziwa nyasa lirudi kwa wenyewe.
 
we shall beat them to oblivion...wanacheza na kenya economic political and military giant!!!
True Hawa scholars and Engineers wote watawekwa chalbi na Steel factories ku produce tanks kama ethiopia na weapons watu watii
 

Sasa huyu mtoto naye, aliwaza nini? Au ni misemo ya kwao? Kama ni misemo ya kwao kwa nini M7 anakasirika?

Ila ingelikuwa kwetu, mithali za hivyo huwa haziko. Pengine kweli ingechanganya kidogo.
 
Calm down now guys. This is a fake story, which first appeared in 2015. Surely, Museveni wouldnt be that reckless to make such a statement which would antagonize Kenya.
M7 used to harbor expansionist ambitions in the 80s, bt times hav changed.
 
A huge chuck of Somali Jubaland was also in Kenya. Na NAona Zanzibar was part of Kenya protectorate
 
Museveni is crazy...I think he wanted the whole of Lake Victoria being that Uganda is landlocked...
 
kama ni Uganda we only need to send GSU ama AP and they will be begging for forgiveness...dont play with our military power...
 
Ramani huwa zinaonyesha mpaka kati ya Malawi na Msumbiji huwa pasu, lakini kwenu upo kwenye fukwe.
Hiyo ramani siyo tuliyofundishiwa sisi mashuleni, na ww unaona ni sawa kusema imepita katikati ya msumbiji na malawi alafu kwetu imechukua ziwa lote.
Na sheria ni kwamba mto au ziwa likitenganisha nchi, kila nchi huchukua nusu yake, same applied in lake tanganyika, victoria. Same applies kwa Malawi. Wacha wajambe jambe, wavuvi wetu watavua kule, extraction of anything in our half will be conducted if needed. Na walete fyoko fyoko.
 
Ha ha ha ha thanks for joking !
 
Wakati east african countries wanataka kuvunja mipaka, still museve wants to rise and wagombane na kenya sababu ya mipaka. This is nonsense again like wise amid didi in 1978 na tukantia adabu so uganda again will be defeated.

You are daydreaming.

East Africans do not want to dissolve their borders. We want them erected high and migjt. We are actually closing down some of the border posts. The EAC thing is an anathema.
 
I remember idd amin the last time he tried to concur part kagera, he end up being fucked by Nyerere...!!
Mkuu ha ha ha ha big up he ended being fucked by Nyerere! You've made my day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…