Museveni visit to Chato

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917


MY TAKE: 2 days after signing a Host Agreement, Museveni is paying JPM a visit in Chato.

Waiting to see if Uhuru will invite himself this time to Chato and offer a word of an apology to JPM as far as Kenya's COVID19 harsh treatment towards Tanzanians is concerned!
 
Ndio ujue mna wivu na kenya walai[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa mpkani anawapima na kuwatangaza, tena zaidi mpkani kawaekea majeshi na pia kaweka total lockdown lkn bado hamkusema..

Sasa hapo ingelikua kenya kaweka total lockdow halafu mpkani apeleke jeshi yani kungelimwagika povu la kimataifa..

Anyway, tumeshawazoea
 
Ametuletea pesa ndio maana tumempokea ila kama angeleta mapumba tungemshima landing access . EACOP ni pesa ile itaajiri watu wengi sanaa na badoo subiri okotoba tumalize uchaguzi muone izo MOA zitakazo signiwa za SGR ww mwanza mpaka isaka yaan mzigo wa rwanda unatoka MSA unatumbukiaa ziwa victoria to mwanza then tuna ubeba na SGR mpaka isaka pale watabeba na malori yao ....tukiwaambia sisi ni strategic area.

Ambia Jaden aendelee kula pesa ya corona sisi tunashughulikia mambo ya kimsingi hapa.
 
Ushirikiano mzuri, cha muhimu tu isiwe fueled na usakaji wa kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…