Museveni visit to Chato

Museveni visit to Chato

Uganda iko karibu sana na Kenya kuliko Tanzania. Museveni ameenda kunywa chai tu.
 
Ametuletea pesa ndio maana tumempokea ila kama angeleta mapumba tungemshima landing access . EACOP ni pesa ile itaajiri watu wengi sanaa na badoo subiri okotoba tumalize uchaguzi muone izo MOA zitakazo signiwa za SGR ww mwanza mpaka isaka yaan mzigo wa rwanda unatoka MSA unatumbukiaa ziwa victoria to mwanza then tuna ubeba na SGR mpaka isaka pale watabeba na malori yao ....tukiwaambia sisi ni strategic area

Ambia Jaden aendelee kula pesa ya corona sisi tunashughulikia mambo ya kimsingi hapa
Hehee!!naona unabwata tu, mhimu comment yangu umeisoma ukaielewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyoyafanya mseveni ingelikua ni kenya, sai hapa hapangelalika..
Kwanza wewe ungelikua wa mbele mbele kunengua..sijui kenya hivi, kenya vile..

Ukweli ni kwamba, huaga mnatuwaza nchi nzima
 
Ndio ujue mna wivu na kenya walai[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Jamaa mpkani anawapima na kuwatangaza, tena zaidi mpkani kawaekea majeshi na pia kaweka total lockdown lkn bado hamkusema..

Sasa hapo ingelikua kenya kaweka total lockdow halafu mpkani apeleke jeshi yani kungelimwagika povu la kimataifa..

Anyway, tumeshawazoeaView attachment 1568652
Museveni's visit to Chato

MY TAKE
2 days after signing a Host Agreement, Museveni is paying JPM a visit in Chato

Waiting to see if Uhuru will invite himself this time to Chato and offer a word of an apology to JPM as far as Kenya's COVID19 harsh treatment towards Tanzanians is concerned!

Geza mbna umekwepa, ama ni mwendo wa kupita kimya kimya kisa sindano ilikua kali sana.
 
Geza mbna umekwepa, ama ni mwendo wa kupita kimya kimya kisa sindano ilikua kali sana
Ni ujinga kujibu vitu ambavyo maelezo yapo online jinsi ya kodi zitakavyokuwa kuna revenue sharing ya faida na service charges pia unapaswa kutochanganya nachojua mimi kila siku tanzania itapata not less than $2.5 mln per day as charges for barrels to be transported when the pipleine is operating at full capacity!

Hapo hatujaongelea storage charges at Tanga port n gas to be sold to Uganda to heat their waxy crude oil! BTW Museveni said aside gas for heating he will need our gas for his irone ore industries meaning for local manufacturing!

Sit down and watch my friend hatukurupuki!
 
Hehee!!naona unabwata tu, mhimu comment yangu umeisoma ukaielewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyoyafanya mseveni ingelikua ni kenya, sai hapa hapangelalika..
Kwanza wewe ungelikua wa mbele mbele kunengua..sijui kenya hivi, kenya vile..

Ukweli ni kwamba, huaga mnatuwaza nchi nzimaView attachment 1568947
Pengine mm nitakuwa sio mmoja kati ya mil 50 wa tz, ambao ww unahisi wanaiwazia kenya... Mi nawazia vitu vikubwa kubwa ....subiria baada ya okotoba tuna angusha MOA ujenzi wa SGR from mwanza to isaka ..kipande kifupi tu lkn very strategic narudia tena very strategic.
 
Ni ujinga kujibu vitu ambavyo maelezo yapo online jinsi ya kodi zitakavyokuwa kuna revenue sharing ya faida na service charges pia unapaswa kutochanganya nachojua mimi kila siku tanzania itapata not less than $2.5 mln per day as charges for barrels to be transported when the pipleine is operating at full capacity! Hapo hatujaongelea storage charges at Tanga port n gas to be sold to Uganda to heat their waxy crude oil! BTW Museveni said aside gas for heating he will need our gas for his irone ore industries meaning for local manufacturing!

Sit down and watch my friend hatukurupuki!
Hivi hii pipeline itakuwa mara ya ngapi kuzindua?tangu 2017[emoji23][emoji23]
 
Hehee!!naona unabwata tu, mhimu comment yangu umeisoma ukaielewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliyoyafanya mseveni ingelikua ni kenya, sai hapa hapangelalika..
Kwanza wewe ungelikua wa mbele mbele kunengua..sijui kenya hivi, kenya vile..

Ukweli ni kwamba, huaga mnatuwaza nchi nzimaView attachment 1568947
Ww nakaram uchwara hakata kusaidia cbochote....huku ni mwendo wa kupiga spana....eti Tz tuigwatilie kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi sielewi kwani agenda ya ccm ni kusaidia wananchi kutoka katika umaskini ama ni kufuatilia Kenya tu.Mimi naona wamepoteza muelekeo vile ninavyoona miccm hapa this is a lost party with no manifestation for it's people.Wao wamepumbazwa kua shida zao ni zinatokana na Kenya na mabeberu mishenzi sana hawa.With that mentality mtaendelea kua backwards
 
Nani afuatilie nchi ya ovyo kama kenya? Sisi tunawaza tuwe na maendeleo kama ulaya.uwezo tunao,rasilimali tunayo na Kijiografia tupo sehemu nzuri.
 
Eh0TBHKWkAEo4uN
 
Back
Top Bottom