Museveni's List of Properties and Abnormal Wealth Links

Wajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, the voices from within ndio inakupa jibu kuwa huu ni uongo!, ndipo unatoa taarifa ya this is too good to be true.

Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.

Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.

Museveni, Mugabe na Kagame ndio ma.role model wangu wa African Democracy ndio maana nikatoa ushauri huu ili rais Magufuli apate muda wa kutosha kama hawa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums

P
 
Too good to be true!.
Kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
P

Mkuu mbona unaongea kama dereva hohe hahe au mtu ambaye hajaenda shule kabisa.

Kwahiyo Mchakato anaosimamia museveni kumtangaza J.K.N kuwa mwenye kheri unahusiana vipi na uhalali au ukweli wa hiyo taarifa!

yaani sijui umeingiliwa na lidubwasha gani unaongea mavitu hata hayaeleweki kabisa mkuu.
 
Aiseee hii ni comment ya hovyo sana, nimekudharau sana
 
Umenichekesha sana mkuu lakini umewakilisha mawazo yangu, huyu jamaa muda mwingine anaongeaga vitu havieleweki kama vile kapagawa...
 
Ng'wana Mayalla Gawiza!!!

Kama mtanzania natamani kufuata ushauri wako wa kutokuiamini ...

Ila napata wasiwasi kuona isije kua sensitivity ya video hii imekufanya hata umekua wakwanza kukoment ...

Haya mahoteli haya sijui ndio wanafichamo humo ... Niliwahi kusikiga Kebbys Hotel sijui ... ivi ipoje ipoje ile ...
 
Siku zote madikteta wanajimilikisha Mali nyingi sana na familia zao na marafiki zao ndio maana wanakua wasiri sana.

Tenda nyingi kubwa kubwa wanazigawa kwa watu wao au makampuni yao na hawataki mtu ahoji. Wanatakatisha pesa kupitia marafiki na ndugu.

Siku Museveni akiondoka madarakani familia yake itapata tabu sana mana Mali zake ndio zitawekwa hadharani na watu watazitaifisha.

Bora angestaafa na kupumzika kwa wema kama ilivyo Viongozi wa Tanzania. Aliyoyafanya kwa maendeleo ya Uganda angepata heshima kubwa kama angamkabidhi mwingine kijiti.
 
Tusiiamini kwa sababu zipi za msingi Pascal Mayalla
 
it may b true.., but naona ni strategies za kupandikiza chuki zaid kwa raia wake, kama walivoanza kwa gadafi.
 
Nikw3likabisa tusiiamini hii video mtu kama wàmemruhusu kuwa raisi miaka 32 ujue anakùbalika. Naomba nasi tumpe nchi mtukufu raisi Magufuļi atutawale.kama Mseveni na Tanzania iwe nchi ya maziwa ña asali kama Uganda ilìvyo sasa wänavyofaidi
 

Nakumbuka mkuu siku ile alisema mayala ni njaa kwa kisukuma, sasa kwel sasa hv mkuu njaa unayo. Ufanye upate mlo maana uendako si kuzur.
 
Mbona kwenye list hujamweka magufuli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…