Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kwa vile hii ni orodha ya miaka 32, then Magufuli tumpatie angalau miaka 20 ndipo tuorodheshe!.sasa pasikali mi natumia freebasics..si bora ungeorodhesha tu hapa kwa maandishi mali za mpiganaji wa msituni
😳Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu
Pascal,Asante Prince Kunta, hata mimi nilishauri hapa Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P
Ni mlevi pia mdharauniPaschal Mayalla ana stress jamani, tumusamehe kwa comments/post zake butu
Njaa haijawahi kuwa na baunsa mkuuMkuu mbona unaongea kama dereva hohe hahe au mtu ambaye hajaenda shule kabisa.
Kwahiyo Mchakato anaosimamia museveni kumtangaza J.K.N kuwa mwenye kheri unahusiana vipi na uhalali au ukweli wa hiyo taarifa!
yaani sijui umeingiliwa na lidubwasha gani unaongea mavitu hata hayaeleweki kabisa mkuu.
ARE YOU SERIOUS OR JUST JOKING, ati who are your role models kagame, museveni and mugambe, you have broken my ribs with laughter kaka,it was a nice joke anyway, nice weekend sirWajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, the voices from within ndio inakupa jibu kuwa huu ni uongo!, ndipo unatoa taarifa ya this is too good to be true.
Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.
Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
Museveni, Mugabe na Kagame ndio ma.role model wangu wa African Democracy ndio maana nikatoa ushauri huu ili rais Magufuli apate muda wa kutosha kama hawa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P
Kaka Pascal, naheshimu mawazo yako. Lakini Hivi kweli kwa hilo unaloliita jicho na sikio la tatu unaamini kweli Mugabe na Museveni ni ma role modal wa Demokrasia? Au una maanisha nisichotaka kukiamini?Wajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, the voices from within ndio inakupa jibu kuwa huu ni uongo!, ndipo unatoa taarifa ya this is too good to be true.
Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.
Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
Museveni, Mugabe na Kagame ndio ma.role model wangu wa African Democracy ndio maana nikatoa ushauri huu ili rais Magufuli apate muda wa kutosha kama hawa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForumsKaka Pascal, naheshimu mawazo yako. Lakini Hivi kweli kwa hilo unaloliita jicho na sikio la tatu unaamini kweli Mugabe na Museveni ni ma role modal wa Demokrasia? Au una maanisha nisichotaka kukiamini?
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForumsARE YOU SERIOUS OR JUST JOKING, ati who are your role models kagame, museveni and mugambe, you have broken my ribs with laughter kaka,it was a nice joke anyway, nice weekend sir
The Beutiful Ones are Not Yet Born in Africa.Wajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, the voices from within ndio inakupa jibu kuwa huu ni uongo!, ndipo unatoa taarifa ya this is too good to be true.
Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.
Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
Museveni, Mugabe na Kagame ndio ma.role model wangu wa African Democracy ndio maana nikatoa ushauri huu ili rais Magufuli apate muda wa kutosha kama hawa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P
Paskali, sijui kuhusu Kagame sababu bado anaendelee kuibadirisha Rwanda. Lakini kwa Mugabe na Museveni naona kesi imekwisha na hukumu tayari. Mugabe kashindwa kuwa mwenye hekima na matokeo yake kaicha nchi mbaya kuliko alivyoichukua kutoka kwa Wakoloni (tunaweza kubishana kuhusu mkakati wake wa kurudisha Ardhi mikononi mwa wazawa na mbinu alizotumia). Hakuna ubishi kuwa tamaa ya Uongozi pia na maslahi yatokanayo na Uongozi vimemuharibu aliyewahi kuwa mwanamapinzuzi wa kutegemewa sana. Yoweri Kaguta Museveni alipopata madaraka Uganda alikuja UDSM pale Nkrumah hall kuongea na wanachuo. Nilimsikia akiongea Museveni nakumbuka kumwambia jamaa yangu kuwa huyu atakuja kuwa Kiongozi mzuri sana. Yoweri Museveni is a brilliant man, but believe me something went wrong. Aliandika kitabu chake cha What is Africa's Problem, akijaribu kurudi nyuma na kujiuuliza matatizo yetu yako wapi kiasi hatuonekani kufanikiwa. Alijaribu kushawishi kuwa yeye atajifunza kutokana na makossa yaliyofanywa na viongozi wenzake na kuwa mabadiriko yatakayokuja Uganda yatakuwa ya kimsingi haswa. Hata Baba wa Taifa alikuwa ameongelea si mara moja kuhusu umakini wa Museveni. Lakini Uganda leo badala ya kuwa nchi ambayo ingekuwa inapiga hatua kimaendeleo imekuwa nchi yenye matatizo ya machafuko na manung;uniko ya kisiasa na uongozi ikiwa bado haijakaa sawa kabisa kiuchumi. Sijui kama kuna lolote Zaidi ya utulivu na kukomesha vita vya wenyewe kwa wenyewe, Museveni alilolifanya Uganda. Unaweza kupuuzia hii video ambayo sidhani kama ina ukweli mwingi, lakini Museveni anazo kashfa za kiwango Fulani za kuwa corrupt na nepotism. Kuna kipindi aliwahi kuhalalisha mkewe kwenda kujifungua Ujerumani akisema hawaamini madaktari wa Uganda. Kaifanya serikali ya Uganda ni kitengo cha familia yake akiwemo mke na watoto kwenye nafasi za uongozi. Huyo Kakake alietajwa hapo kwenye hiyo video anakashfa za matumizi mabaya ya Uongozi tangu miaka ya 80 na 90 na Museveni ameshawahi kumuongelea kuhusu ubadhrifu wake. Sasa mke wa Kaisari sio tu hatakiwa kutokuwa mwaminifu kwa Mumewe lakini pia hatakiwa hata kuhusishwa na kashfa yo yote ile, hicho ndiocho kiwango cha usafi wa mke wa Kaisari.Wajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, the voices from within ndio inakupa jibu kuwa huu ni uongo!, ndipo unatoa taarifa ya this is too good to be true.
Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.
Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
Museveni, Mugabe na Kagame ndio ma.role model wangu wa African Democracy ndio maana nikatoa ushauri huu ili rais Magufuli apate muda wa kutosha kama hawa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P
Mkuu Dunyua, kwanza asante kwa objectivity yako katika mchango huu na in-depth analysis. Pili nakubaliana na wewe kabisa ila kuna ukweli wa aina mbili, ukweli wa "is" na ukweli wa "ought to be". Ukweli wa is, ni.ukweli uliopo, na ukweli wa ought to be ni ukweli unaopaswa kuwa. HivyoPaskali, sijui kuhusu Kagame sababu bado anaendelee kuibadirisha Rwanda. Lakini kwa Mugabe na Museveni naona kesi imekwisha na hukumu tayari. Mugabe kashindwa kuwa mwenye hekima na matokeo yake kaicha nchi mbaya kuliko alivyoichukua kutoka kwa Wakoloni (tunaweza kubishana kuhusu mkakati wake wa kurudisha Ardhi mikononi mwa wazawa na mbinu alizotumia). Hakuna ubishi kuwa tamaa ya Uongozi pia na maslahi yatokanayo na Uongozi vimemuharibu aliyewahi kuwa mwanamapinzuzi wa kutegemewa sana. Yoweri Kaguta Museveni alipopata madaraka Uganda alikuja UDSM pale Nkrumah hall kuongea na wanachuo. Nilimsikia akiongea Museveni nakumbuka kumwambia jamaa yangu kuwa huyu atakuja kuwa Kiongozi mzuri sana. Yoweri Museveni is a brilliant man, but believe me something went wrong. Aliandika kitabu chake cha What is Africa's Problem, akijaribu kurudi nyuma na kujiuuliza matatizo yetu yako wapi kiasi hatuonekani kufanikiwa. Alijaribu kushawishi kuwa yeye atajifunza kutokana na makossa yaliyofanywa na viongozi wenzake na kuwa mabadiriko yatakayokuja Uganda yatakuwa ya kimsingi haswa. Hata Baba wa Taifa alikuwa ameongelea si mara moja kuhusu umakini wa Museveni. Lakini Uganda leo badala ya kuwa nchi ambayo ingekuwa inapiga hatua kimaendeleo imekuwa nchi yenye matatizo ya machafuko na manung;uniko ya kisiasa na uongozi ikiwa bado haijakaa sawa kabisa kiuchumi. Sijui kama kuna lolote Zaidi ya utulivu na kukomesha vita vya wenyewe kwa wenyewe, Museveni alilolifanya Uganda. Unaweza kupuuzia hii video ambayo sidhani kama ina ukweli mwingi, lakini Museveni anazo kashfa za kiwango Fulani za kuwa corrupt na nepotism. Kuna kipindi aliwahi kuhalalisha mkewe kwenda kujifungua Ujerumani akisema hawaamini madaktari wa Uganda. Kaifanya serikali ya Uganda ni kitengo cha familia yake akiwemo mke na watoto kwenye nafasi za uongozi. Huyo Kakake alietajwa hapo kwenye hiyo video anakashfa za matumizi mabaya ya Uongozi tangu miaka ya 80 na 90 na Museveni ameshawahi kumuongelea kuhusu ubadhrifu wake. Sasa mke wa Kaisari sio tu hatakiwa kutokuwa mwaminifu kwa Mumewe lakini pia hatakiwa hata kuhusishwa na kashfa yo yote ile, hicho ndiocho kiwango cha usafi wa mke wa Kaisari.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hii kukaa sana madarakani sio jambo zuri na ushahidi uliotuzunguka unadhibitisha hayo. Gadafi alikuwa kiongozi wa mfano sana, lakini ilifika wakati Libya ilianza kuwa mali ya familia ya Muamar Gadafi, wanafamilia ya Gadafi wakaanza kuwa na nguvu na kuonekana wana utajili usioelezeka umepatikana vipi Zaidi ya kuwa baba yako alikuwa Mkuu wa nchi. Madaraka ya muda mrefu hutokea kuwaribu hata wale wenye nafsi na nia njema.
HAKUNA KAKA, pls i think in africa we need deliverance, who came some people amass illegal and ill goten wealth as if they will carry it to the next world, i have no problem with one getting rich amazon boss jeff bezos , worlds richest fellow at a massive 118b us dollars worked for each and every one of his dollar, paid all taxes, but this aafrica dictators, why couldnt they learn from mobuto seseseko of congo, and the likes of bukasa central africa,
Ulipomtaja Mobutu Ssese Sekou Kuku Ngbendu Wa Za Banga of Congo, kuna kitu nimekumbuka, mimi mwenzenuHAKUNA KAKA, pls i think in africa we need deliverance, who came some people amass illegal and ill goten wealth as if they will carry it to the next world, i have no problem with one getting rich amazon boss jeff bezos , worlds richest fellow at a massive 118b us dollars worked for each and every one of his dollar, paid all taxes, but this aafrica dictators, why couldnt they learn from mobuto seseseko of congo, and the likes of bukasa central africa,
Yani mtu kusimamia utakatitifu wa mtu mwingine na yeye anakuwa mtakatifu[emoji23][emoji23][emoji23]....hio logic yako aiseeWajameni, this is just too good to be true!.
Sisi wenye jicho la tatu, pia tuna sikio la tatu, hivyo kuna vitu ukisikia, unajiuliza could it be true?, and then, you listen to yourself, the voices from within ndio inakupa jibu kuwa huu ni uongo!, ndipo unatoa taarifa ya this is too good to be true.
Pia kwa vile ni rais Museveni ndie anayesimamia mchakato wa kumtangaza Baba wa Taifa kuwa Mwenye Heri, ambayo ni hatua moja kabla mtu hajatangazwa, Mtakatifu.
Haiwezekani mtu anayesimamia mtu mwingine awe Mtakatifu, halafu yeye asiwe Mtakatifu!, hivyo natoa wito kwa sisi Wa Tanzania tusiiamini video hii.
Museveni, Mugabe na Kagame ndio ma.role model wangu wa African Democracy ndio maana nikatoa ushauri huu ili rais Magufuli apate muda wa kutosha kama hawa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P
Yes hii ndio kanuni ya utakatifu, ndio maana hata Ikulu yetu ni mahali patakatifu, hivyo aliyepo ikulu yetu anapaswa kuwa ni mtakatifu, na ndio maaa sisi wengine tunamuita mtukufu rais!.Yani mtu kusimamia utakatitifu wa mtu mwingine na yeye anakuwa mtakatifu[emoji23][emoji23][emoji23]....hio logic yako aisee
Ili nchi iwe ya maziwa na asali kama uganda...Asante Prince Kunta, hata mimi nilishauri hapa Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P