Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Katika urafiki na uchumba kuna matarajio yake na mengi yake huwa hayazungumzwi na/au hayazungumziki.............lakini yale mazungumzo yaliyokuwa yanaonekana hayana umuhimu baada ya ndoa huwa ndiyo mambo muhimu na majuto huwa ni mjukuu...................
Nitatoa mfano mmoja wa tendo la ndoa..............................
Wako ambao hukwepa tendo la ndoa kwa makusudio mazima ya kutimiliza kati ya haya na mengineyo.................................
1) Kumtukuza Mwenyezi Mungu............................safi sana...........
2) Kukwepa malinganisho ya kuwa mbona fulani niliyemwonja ni mtamu zaidi yako..............fikra, hisia na uzoefu...........................
3) Kukwepa magonjwa na mimba za kabla ya wakati.....................................hutaki nepi za mtumba kwa sababu tu uliharakisha kukua kabla ya wakati na haraka haraka haina baraka...................
4) kukaa mbali na tendo la ndoa ikiwa ni kigezo kikubwa cha kuoana...................we are different from them, all....................................we are morally better than them, to put it real..........
5) N.k na kadhalika.....................................................
Mushkeli hapo ni kuwa haya mengineyo pia huweza kuwa ni changamoto zisizokusudiwa.............
a) kugundua ya kuwa kumbe kwenye hilo kafara ulikuwa unaitoa pekee yako mwenzio kiguu kwa njia...........
b) kugundua ya kuwa kumbe mwenzio hawezi dozi tatu kutwa na anapendelea dozi moja kwa wiki.............hili nalo sasa ni purukshani jingine ambalo matarajio hayaendani na hali halisi.....
c) tofauti za maumbile ya nyeti nayo yaweza kuleta sooooooooo......................soma riwaya ya Rosa Mistika kwa ufafanuzi wa ziada................................
lakini uzuri wa haya yote ni kuwa........................love conquers it all. Therefore put God in the first place He is going to take you places........................................................