Mushobozi wa Harmonize wampagawisha dada mwenye shepu lake

Mushobozi wa Harmonize wampagawisha dada mwenye shepu lake

Kuna video Ina trend hivi sasa ikimuonyeeha dada mmoja akililia penzi la Harmonize.

Hi imekuja baada ya siku kadhaa nyuma kulipovuja mtandaoni video zikiuonyesha Mushobozi wa Taifa unaomilikiwa na Harmonize.

Dada amesemaa Yuko tayari kwa lolote lakini sharti ampate Konde Boy.
View attachment 1765167
Mbona ame-sweat namna hiyo/ sana?
Je, ana afya njema ya akili?
Sasa hatamtangaza vipi, wakati hapa anatangaza? Ni kipi hasa hata tangaza?
 
Back
Top Bottom