Mushobozi wa Harmonize wampagawisha dada mwenye shepu lake

Mushobozi wa Harmonize wampagawisha dada mwenye shepu lake

Sasa mbona anaonyesha mgongo wake Mkuu? 😜
Kuna video Ina trend hivi sasa ikimuonyeeha dada mmoja akililia penzi la Harmonize.

Hi imekuja baada ya siku kadhaa nyuma kulipovuja mtandaoni video zikiuonyesha Mushobozi wa Taifa unaomilikiwa na Harmonize.

Dada amesemaa Yuko tayari kwa lolote lakini sharti ampate Konde Boy.
View attachment 1765167
 
Upendo haubagui wala hauchagui, mtu hupendwa kwa moyo na si kwa alivyo navyo au anavyomiliki
sawa ila sasa kiubinadamu kuna yale matamanio ya nje ,kuna wanaopendea rangi, umbo at the first sight maana moyo uko ndani huko ni mpaka umzoee huyo mpendwa🤷‍♂️
 
"Figa huonekana hata kwenye baibui"
"Mchovu akipewa hilo zigo hainui"
"Chungu cha moto, bila ufundi haipui"
"Bonge la kalio,mapedeshee wanamwaga bonge la salio"
"Natetema mwili likitikishingikaa","siendi mbali kama likikatishaga wowowo"
"Zawadi ya kudumu ni kubarikiwa wowowo,hata ujirembe vipi sisi tunatazama wowowooo"
"Sura hata mbuzi anayo ila sasa wowowoooooo"
"Hataa ujirembee vipi sisi tunatazamaa wowowoooooo"
 
Zigo kama hili ni marufuku kulila kifo cha mende,doggy style ndo haki yake!..by the way hv kuna wanaume hawapendi mizigo/wowowo?...kama wapo basi wanakosa uhondo sana!
 
Back
Top Bottom