Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhhhhh subutuuuuu, famchezo nini, msiba hafai aiseeMkuu usitutishe. Haki ya mtu haipokei kwa vitisho uchwara. Hata baada ya Membe kufa, warithi wake wataendelea na madai kama kawaida. Wewe endelea kujifariji kwa muda.
Mkuu kwani uwepo wa jamhuri unazuia mahakama kufanya kazi yake? Sukuma Gang wanajidanganya sana aisee!Shida kubwa ya wote wanao mdai Musiba nikukosa kukumbuka wanamdai Mtu ambaye side sahihi. Pili nafsi zinawasuta why leo na sio jana? Mwisho ni kukumbuka JPM na jamuhuri huwezi kuwatenga JPM kaondoka Jamuhuri ipo sasa tusichoshane kwa maswali
Mkuu haki ya mtu haijawahi kupotea kwa sababu ya kutishwa na watu wa system. Hata Prof Tibaijuka na Shangazi ni watu wa sytem pia. Lazima Musiba alipe hela za watu; asilete janjajanja ya kuwatisha watu. Aliyekuwa anamkingia kifua kafa, hana pa kuchomokea.Sio wote ni waoga .
Inajulikana wazi lengo ni kuogofya lakini sio wote ni waoga.
Utashangaa kwa uchungu wa kifo cha utata cha BM watu wana hasira Na uchungu hawataacha kudai hadi mia.
Jamaa ako na watu wa system msizani itakuwa rahisi kiivyo!
Sasa kama aliwakashifu watu watatu kwa mpigo na wote ameamuliwa awalipe unadhani atalipa gharama ya mtu mmoja tu? Ukiwakashfu watu wengi ujiandae kulipa kiasi kikubwa. Na hapo bado pesa atakazomlipa Zitto bado hazijajumlishwa.Mahakama inaamua kulipa Hela yote hiyo hata Hawa majaji sidhani kama netwek Yao ipo vzr billion 18!!!!!!!
Mbona Musiba hakuzikwa na JPM badala yake amemuacha hapa duniani anateseka? Lipeni hela za watu nyie Sukuma Gang. Kwanini msimchangie pesa?Punguza kiherehere utakuja kufa kifo kisicho chako. Kama aliyekufa kakuuma sana nenda Mkazikwe wote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kutoka mwibala tunasema tunaomba list yawote wanaoyataka mabilioni yakijana wetu na uthibitisho wa kauli zao kua wanazitaka hizo hela.
Mkuu mbona unashadadia ishu zisizokuhusu, wahusika kama wana madai watayatoa kwa huyo wanayemdai.....tumechoka na hizi kelele.Hakuna kitu kama hicho mkuu. Lazima huyu mhuni akaangwe ili liwe fundisho kwa wahuni wengine.