Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Bora angeenda tu huko kwa MikiaMnatulazimisha tumchukue kipa wenu mamluki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora angeenda tu huko kwa MikiaMnatulazimisha tumchukue kipa wenu mamluki?
Ni ndogo au? Acha kuektiGooosh!Milioni 2 ndio mpaka aite Camera!
Kweli Musiba
Nadhan alipaswa amtumie tu kwenye tigo pesa kimyaa kimya!!
Kama taasisi imeshindwa kumpa kwa nn yeye aliyeweza asiite kamera? Halafu ni sehemu ya ujiko pia,so hata Mimi ningeita ma media kibaoGooosh!Milioni 2 ndio mpaka aite Camera!
Kweli Musiba
Nadhan alipaswa amtumie tu kwenye tigo pesa kimyaa kimya!!
Aende tu kwa kanjibai. Hajasoma namba? Tatizo siyo milioni mbili.Bora angeenda tu huko kwa Mikia
Dubwana [emoji23][emoji23][emoji23]Duh heri hili dubwana liko Yanga, kushabikia timu 1 nae inahitaji sehemu 1 ya brain yako iwe domant!
Kwani huko Lumumba kuna mtu mwenye akili timamu? Bibie nipo udowe na subiria Pilau lako. Unajua siye watu wa pwani tunavyetu tunavyovipenda, tukutane basiMimi ni CCM huyo ni punguani.
Bibie, wapo wengi hapo lumumba, njoo basi tukutane usisahau kuja na urojo wa ukwaju, nipo mvita na LivingstoneMimi ni CCM huyo ni punguani.
Mvita na Livingstone hazikutani kabisa zipo parallel.Bibie, wapo wengi hapo lumumba, njoo basi tukutane usisahau kuja na urojo wa ukwaju, nipo mvita na Livingstone
Mpo kambi moja lakini!Huyu jamaa punguani kweli kweli.
Hapana, si kweli. Siwezi kuwa kambi moja na punguani.Mpo kambi moja lakini!
Huyu siyo Yanga na hii in episode tuu kwenye movie yake.Duh heri hili dubwana liko Yanga, kushabikia timu 1 nae inahitaji sehemu 1 ya brain yako iwe domant!
Wanataka aje afungishe mechi ya marudiano.Hatumtaki wamchukue tuuMnatulazimisha tumchukue kipa wenu mamluki?
Kama mwenyekiti wao in kichaa,mpina ni kichaa na Musiba ni punguani,ccm wote in vichaaa.Bora umemtaja kwa cheo chake halisi.
Kumbe Musiba tajiri hivi
Anafanya hayo kama nani?