Musiba ampa pesa kakolanya aahidi atampa na pesa ya usajili

Gooosh!Milioni 2 ndio mpaka aite Camera!
Kweli Musiba
Nadhan alipaswa amtumie tu kwenye tigo pesa kimyaa kimya!!
Kama taasisi imeshindwa kumpa kwa nn yeye aliyeweza asiite kamera? Halafu ni sehemu ya ujiko pia,so hata Mimi ningeita ma media kibao
 
Mimi ni CCM huyo ni punguani.
Kwani huko Lumumba kuna mtu mwenye akili timamu? Bibie nipo udowe na subiria Pilau lako. Unajua siye watu wa pwani tunavyetu tunavyovipenda, tukutane basi
 
Kwan ni Beno peke yake anayedai hamjajua Beno ni chambo na musiba ametumika Beno anatumika na Meneja wake kuichafua yanga tukumbuke si yeye peke yake anayedai kila wakat yy na vyombo vya Habari
 
Bibie, wapo wengi hapo lumumba, njoo basi tukutane usisahau kuja na urojo wa ukwaju, nipo mvita na Livingstone
Mvita na Livingstone hazikutani kabisa zipo parallel.

Mitaa yangu hiyo.

Halafu ni vyema tukaongelea hoja zilizopo tusidhalilishane tafadhali. Mambo ya urojo yanahusu nini hapa?
 
Akacheze kwenye hiyo team ya Musiba Fc sisi yanga kwetu hana nafasi tena
 
Kumbuka Manji alipigwa stop kinamna kuendelea kuwa kiongozi wa Yanga. Hii pesa ni ya yule anayependa kugawa gawa pesa hadharani lakini anamtumia huyo kugawa mapesa hayo.

Kumbe Musiba tajiri hivi

Anafanya hayo kama nani?
 
Musiba ni punguani, jinga, hana maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…