Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Atajua hajui!! Mpaka Mex alimsema kua ni mmoja wa maadui wa utawala wao kwa kumsema mtukufu wao, na mikesi ya hovyo wakampa!!! Leo hii walinda legacy humu ndan wanamtetea m'siba!!Katika dunia hii watu tunapaswa kuishi kwa upendo na kuhurumiana. Musiba amefanya kosa kwa hiyo aombe msamaha. Unaukumbuka ule wimbo wa zamani...
Sijawahi kuona wala kusikia popote watu wakijitangaza kwamba wanalinda legacy ya JULIUS KAMBARAGE NYERERE Pamoja na mambo yote makubwa aliyofanya sembuse huyu aliyependelea kwao na kutugawa?Atajua hajui!! Mpaka Mex alimsema kua ni mmoja wa maadui wa utawala wao kwa kumsema mtukufu wao, na mikesi ya hovyo wakampa!!! Leo hii walinda legacy humu ndan wanamtetea m'siba!!
JKN alikua mzalendo wa kweli pa si na shaka!! Hawa wengine ni wapiga dili tu kweny kivuli cha uzalendo uchwara!!Sijawahi kuona wala kusikia popote watu wakijitangaza kwamba wanalinda legacy ya JULIUS KAMBARAGE NYERERE Pamoja na mambo yote makubwa aliyofanya sembuse huyu aliyependelea kwao na kutugawa?
Huyu ndiye wa kusamehe, bladifakenKatika dunia hii watu tunapaswa kuishi kwa upendo na kuhurumiana. Musiba amefanya kosa kwa hiyo aombe msamaha.
Unaukumbuka ule wimbo wa zamani,ulikuwa wimbo wa Western au Jamhuri Jazz Band,au sijui nani,walikuwa wanaimba,"Ingawaje wewe ndie mwenye makosa lakini naomba unisamehe". Watu wa zamani walikuwa wastaarabu kuliko sisi.
Wakati wa Nyerere ule watu walikuwa wastaarabu.
Kwa hiyo, Musiba amuombe Membe msamaha.
Acha akaangwe akili zimrejee kichwani mwake 😂Katika dunia hii watu tunapaswa kuishi kwa upendo na kuhurumiana. Musiba amefanya kosa kwa hiyo aombe msamaha.
Unaukumbuka ule wimbo wa zamani,ulikuwa wimbo wa Western au Jamhuri Jazz Band,au sijui nani,walikuwa wanaimba,"Ingawaje wewe ndie mwenye makosa lakini naomba unisamehe". Watu wa zamani walikuwa wastaarabu kuliko sisi.
Wakati wa Nyerere ule watu walikuwa wastaarabu.
Kwa hiyo, Musiba amuombe Membe msamaha.