Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao


Hivi huyu jamaa ana akili kweli!?

Musiba ni msiba....!!
 
Huyu amesikia maelezo ya wamilik wa bus? Familia ndio ilimpigia mnyika simu baada ya wao kupigiwa na wamiliki wa Bus,
 
Hawa machawa wakianza kukujaza upepo ujue kuna anguko lako wanaliandaa sio wa kuwafagilia sana ukishawaleta karbu linakukuta jambo mana huwez kujua ni wakweli au mamluki nafkir wahusika wawe nao makini
 
Tunachukiana sababu tunaogopana,

Tunaogopana kwasababu hatujajuana,

Hatujuani sababu tunatengana,

Dunia ni nzuri walimwengu hawana maana.
 
Nafikiri unafaa zaidi uisaidie polisi,ukiona karandinga yeyote ya polisi panda ukatoe maelezo ya kulisaidia kufumbua vitendawili unavyopigia debe humu.
 
Hili shoga kumbe halijafa tu
 
Nafikiri unafaa zaidi uisaidie polisi,ukiona karandinga yeyote ya polisi panda ukatoe maelezo ya kulisaidia kufumbua vitendawili unavyopigia debe humu.
naamini ili kujiridhisha,
ni muhimu vyombo vya kiuchunguzi kumulika pale HQ ili walau kufahamu ukweli na kuondoa utata ambao umetanda kwenye Jamii huu ya songombingo 🐒
 
Namnukuu Musiba 2015, Dodoma eneo fulani karibu na hospital ya makole akiongea kwenye simu na watu walioko Arusha, “Mthibitini mpaka nitakapofika mimi mwenyewe kesho asubuhi” asitake kuichezea Doła”

Alikuwa bado si Musiba yule maarufu mmiliki wa gazeti, vuvuzela wa awamu ya tano. Alikuwa hana jina, probably a ghost handler by then.

Hivyo bwana musiba, kwa heshima na taadhima wewe u mmoja wao katika nyakati tofauti. Hauna credibility yoyote ya kuongelea huu mjadala bila kujulikana kuwa unafanya spinning.

Halafu mbona maswali haya ni ya kijinga hivyo? Recruitment ya hawa watu inafanyikaje? Si ajabu tunaona matumizi ya nguvu ni makubwa kuliko maarifa.
 
Akikujibu tutayaona majibu.
 
naamini ili kujiridhisha,
ni muhimu vyombo vya kiuchunguzi kumulika pale HQ ili walau kufahamu ukweli na kuondoa utata ambao umetanda kwenye Jamii huu ya songombingo 🐒
Kwanini sii kwenye zile korido za rangi majani mabichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…