Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

Albadir imeanza kuwatoa mapangoni
 
Kwanini sii kwenye zile korido za rangi majani mabichi.
ni muhimu kufuatilia kwa umakini zaidi kiundani zaid uchaguzi wa chama hiki tangu mwanzo huenda kuna mengine mengi makubwa zaid yametendeka huko nyuma
 
Wahalifu mmeanza kujitokeza hadharani, bado mtaanza kutajana kama walivyoanza wengine
 
Huyu alipe deni analodaiwa na marehemu aachane na cheap popularity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…