Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

Hata ukijipendekeza vipi, hutakublika huko kutokana na hisoria yako
 
Akili fupi anadhani anaweza kupewa fedha na vitendea kazi na serikali kama enzi ya Magu III atukane na kuikashifu , pamoja na Tanzanite media.
Musiba lipa ile faini kwanza hakuna wa kukusaidia.
 
Sina uhakika, ila ninahisi huyu katumwa kusema aliyoyasema ili kubadilisha mwelekeo wa mjadala.
 
Hili senge kumbe lipo nilijua lilishaaga dunia
 
ni muhimu kufuatilia kwa umakini zaidi kiundani zaid uchaguzi wa chama hiki tangu mwanzo huenda kuna mengine mengi makubwa zaid yametendeka huko nyuma
Wametendewa au kutendwa na nani,siku ukiliona na kulipanda karandinga utawaambia yote.
 
Kenge sana huyu boya.
 
Wauaji mnahangaika sana, lakini haitawasaidia. Lazima mtakwenda na maji. Shetani wakubwa ninyi.
 
Hii ndiyo mijitu ya hovyo ambayo Mzee Butiku jana kaiongelea.
 
Mashetani wote wataibuka wakati huu kuutetea ushetani wao kwani upo shakani kuliko kipindi kingine chochote cha hivi karibuni.
Mashetani yanahangaika kwa mbinu za kijinga yakidhania yatajichomoa lakini haitakuwa. Lazima yalipie damu yaliyoimwaga. Inaonekana shetani moja tulilo nalo humu ni hilo Tlaatlaah. Hili toka mwanzo linatetea ushetani wake wa kuua watu.

Mauaji tunayohumuhumu JF. Nina uhakika kwa not less than 70%, Tlaatlaah na Chiembe ni miongoni mwa kundi hilo la wauaji.
 
Wauaji mnahangaika sana, lakini haitawasaidia. Lazima mtakwenda na maji. Shetani wakubwa ninyi.
kuna moja inadaiwa haskii ladha ya konyagi jabisa mdomoni, sasa sijui ni hofu au kisomo?
 
Unawapandisha sana chart mkuu. Hao ni miongoni mwa wapayukaji wa chama tawala waliowekwa kuvuruga mijadala na kufanya mizaha ili kutibua wachangiaji makini.

Hawa ni cheap trolls. Kujichekeshachekesha kwingi hasa wanapoona wakuu mnataharuki. Wao wako cloud nine kwa raha wanazopata bila kutoka jasho.

Bahati mbaya au nzuri kwao, JF haina namna ya kushughulikia trolls na kuzipeleka gizani. Na wakuu msiojua mnajibizana nao na kuwapa uhai zaidi. Actually, “wanawasanifu” jinsi mnavyohangaika kujibu ujinga wanaopost na kupoteza mwelekeo!
 
Binaadam tungalijua kwamba sote tutaondoka ktk dunia na tutahukumiwa siku ya hesabu na alietuumba sote, kila mmoja angaliacha uongo na kujipendekeza kwa watu badala yake angalijipendekeza kwa aliemuumba
 
Hivi Fatma Karume si bado anaidai hii umbwa bilioni 5?
 
Kwa hiyo wahusika ni kina nani?
 
Unaweza kuwaza mambo mengi sana juu ya huyu Musiba.

Ameibuka tena kwenye kipindi ambacho watanzania wameanza kuishi kwa hofu kubwa sana juu ya maisha yao.

Huyu huyu Musiba alikuwa ni gumzo kubwa kipindi cha Magufuri.

Swali la kujiuliza ni kwanini Musiba anaibuka kwenye kipindi cha mateso kwa watanzania?

Kwanini anaonekana kufurahia mateso wayapatayo watanzania?

Naomba tujadili wote kama watanzania juu ya huyu mtu anaitwa Musiba.
 

Attachments

  • -1469209338.mp4
    4.8 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…