Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba baada ya kutupwa katika mchujo wa wagombea walioteuliwa kupigiwa kura za maoni kuwania Ubunge wa Jimbo la Mwibara amejitokeza na kusema alikuwa na ndoto ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Mwibara
Soma Pia: Cyprian Musiba atupwa nje mchujo Ubunge Mwibara
Soma Pia: Cyprian Musiba atupwa nje mchujo Ubunge Mwibara