Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kwa mara nyingine tena, Dhalimu baada ya kutenda udhalimu wake badala ya kuukabili uovu wake na kutake responsibility yeye anakimbilia kwa maaskofu ili wamsaidie kubeba udhalimu wake.
Iko hivi, Hakuna anayepaswa kubeba uovu wa Mwingine. Hata Kanisani mtu anapoungama, hakuna anayeungama kwa niaba ya mtu mwingine.
Leo hii Musiba pengine kwa kiburi au Jeuri anashindwa hata kuitisha press conference na kumuomba radhi ndugu Membe na wengine wote aliowakwaza, ila anakimbilia kwa maaskofu ili eti wao ndo wambebee ujinga wake.
Nawashangaa hata maaskofu, badala ya kumwambia mkosaji atake responsibility ya makosa yake, wao wanataka Mkosaji ago away kirahisi rahisi tu.
Hebu tujiulize, kwa Nini Musiba kakimbilia kwa maaskofu na siyo wazee wengine wenye heshima, ni kwa sababu anataka KUTUMIA DINI kugo away na makosa yake. Ni gemu ileile ya bosi wake wa zamani kujifanya kuwa karibu na viongozi wa dini pindi akishaharibu ili kupata huruma ya jamii.
Kitu kingine cha kujiuliza, Askofu Mwamakula huwa anawaombea laana viongozi au watu wenye kutaka kuharibu haki nchini. Aliomba hivyo wakati wa uchaguzi mkuu, kuwa atakaye iba, vuruga uchaguzi mkuu apate mapigo, Ameomba hivyo kwa atakayekwamisha katiba mpya. Leo hii kwa nini anadhani kuwa Membe shuruti awe wa rehema kwa mtu aliyemuumiza kiasi kile?
Kwa upande wa Askofu Pengo. Huyu hakuwahi kukemea ujinga na udhalimu ambao Musiba alikuwa akiufanya wakati ule. Na hajawahi kumtaka Musiba aache ujinga wake. Leo hii ana moral authority gani ya kumtaka Membe asamehe?.
Iko hivi, Tusimlazimishe Membe kusamehe au kutosamehe. Kusamehe ni haki yake na wala siyo wajibu wake.
Na mimi namshauri Membe kuwa, Mali alizopata Musiba, part ya mali hizo ni Mapesa aliyokuwa analipwa ili kuwachafua. Kwa hiyo ni jambo jema kabisa kuchukua mali hizo kama fidia.
Na hii ni muhimu kwa sababu itasaidia kutoa somo kwa watu wengine, mosi waache kutegemea binadamu aliyetoka kwa mavumbi na badala yake wamtegemee Mungu. Na pili Ubaya una consequences, Utavuna ulichopanda.
Niwakumbushe tu akina baba Askofu Pengo, kuwa huwa mnatufundisha kuwa TUTII MAMLAKA. Sasa ni wakati Muafaka wa Wao kwenda na kumwambia Musiba atii mamlaka ambayo ni Mahakama. ALIPE!